Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Sio CCM ya mama hii, Uliza Peneza na Msigwa wamepewa nini hukoAkina Lucas wanasota mwaka wa 10 huu bado hawajapata uteuzi usifikiri CCM wanagawa Tu vyeo vya bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio CCM ya mama hii, Uliza Peneza na Msigwa wamepewa nini hukoAkina Lucas wanasota mwaka wa 10 huu bado hawajapata uteuzi usifikiri CCM wanagawa Tu vyeo vya bure
Wanaenda kwa mamaCCM ambako mwenyekiti anapatikana kitapeli kinyume na katiba? Ambako rushwa ni kama maji
Sijawahi kuwa mfuasi wa Chadema au Mbowe. Sipendi dhulma ndio maana niliwapinga wote ambao walitaka kumnyima Mbowe haki yake ya kugombea. Hao hao ndio leo wanatamba kuwa Chadema imetufundisha maana ya demokrasia. Sitaki kuwa vuvuzela wa mtu yeyote. Ndivyo nilivyo siku zote. Nyie mnaosema kuwa sisi ni wafuasi wa Mbowe mnasema hivyo kwa sababu tumekataa kuwa chawa wa Lissu. Btw, kuweni consistent. Mara sisi ni CCM, mara Chadema ya Mbowe. Kwa kweli mna boa.
Hao ndo hawana muelekeo.Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Hatari ya CHADEMA ilikuwa kwa Mbowe kushinda na Lissu kuhama CHADEMA ila hii ya hawa chawa kuhama wala haina madhara yoyote kwa CHADEMA,Vichekesho vya kipumbavu, uongozi wa Lissu hauna hata mwezi, ni mwelekeo gani huo wanazungumzia? Wakihama watakuwa wamemsaidia sana Lissu na chama chake cha CHADEMA.
Chadomo chama kilishajifia na Lissu kakizika kabisa. Chama kikuu cha upinzani sasa hivi ni ACT. Chadomo ni chama kikuu cha upinzani JF na X.Hatari ya CHADEMA ilikuwa kwa Mbowe kushinda na Lissu kuhama CHADEMA ila hii ya hawa chawa kuhama wala haina madhara yoyote kwa CHADEMA,
Alihama Kaburu Katibu Mkuu,
Alihama Slaa Katibu Mkuu
Alihama Mashinji katibu mkuu
Alihama Arfi Makamu Mwenyekiti,
Hawa wengine ni taka taka tu waende hata leo
Hawana mvuto tena haoSasa uongozi hauna hata mwezi na umeshapoteza mwelekeo🤣🤣
Manina😂😂
Mlikitumia chama kwa faida zenu Leo lazima mnyooke tu,
Sisi tunarudisha,
Dkt Slaa,
Prof Safari,
Mch, Msigwa
Dkt Marcus
Saed Kubenea
Renatus Pamba,
Sema ni vile kufungua thread ni bure. Ingekua tunalipia hakika usingepost mkuuZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Ingalikua jf ya kulipia wewe using kuwa memberSema ni vile kufungua thread ni bure. Ingekua tunalipia hakika usingepost mkuu
Ungesema wanarudi CCM walikotoka mwanzo sio wanahama. Weka sawa hapo bwasheeZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Duh, aiseee🤣🤣🤣Duh aiseee
Inamaana mbowe alikuwa ccm.?Ungesema wanarudi CCM walikotoka mwanzo sio wanahama. Weka sawa hapo bwashee
Wamchukue na waliyemtaka aweZipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
Hao watakuwa mamluki wa ccm waliokuwa wamejichimbia CDM wakati wa FAM.Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo