kundi kutajwa katika katiba haitoi haki kama katiba haina mfumo wa kutoa haki

mkuu ego, hebu acha kuwatibulia magamba mchongo wao kwa maana hicho ndicho kidanganyio chao kwenye katiba.

wewe kidudu sura yenyewe kama huyo ndege ulomweka avatar, huna hoja unabwatuka as if akili yako imeharibiwa na chonga.
 
KAFULILA ANAINGIAJE HUMU MWIZI SI WEWE ULIYETUMWA NA CHADOMO!! Kwani unadhani wana jf hawakujui kama umetumwa?
Mtumwa hudhani kila anayekutana naye njiani ni mtumwa, mimi ni mtu huru mwenye mawazo huru. Wewe ni mtumwa hivyo huna mawazo huru, ndiyo maana unatetea wezi wa raslimali za nchi-hivyo lazima ufuate matakwa ya Bw. wako
 
Jifunze kwa waliofanikiwa, Bw.Lee is a good example
 
Jifunze kwa waliofanikiwa, Bw.Lee is a good example

SI NDO HAO AKINA LEE NA UKAWA WANAOKUTUMIKISHA NA KUKUFANYA UWE MBISHI NA KUTOKUBALI UKWELI WA MAMBO NA KUWA KAMA MBOGO! We unadhani mzima kichwani humo? Kazi yako kutaja majina ya watu tuu ndo mana nakwambia wewe ni kibaraka wao. Pole sana kuwa mzalendo wewe au we ni ISI?
 
Hivi una mfahamu Bw.Lee kweli, au unaropoka tu? kwa taarifa yako Lee ni Yoshua wa Singapore. Hakuna kiongozi hapa Tanzania anayeweza kujifananisha na Bw. Lee. Sisi hapa kwetu tuliwahi pata Musa wetu ila Yoshua bado hajapatikana.

Na kwa katiba hii ya chenge, ambayo itapitishwa muda si mrefu sana ujao, tuna safari ndefu kumpata Yoshua wetu wa kutuvusha mto yordani na kutuingiza Nchi ya Kanani. Ila kwa mtindo huu ninaouona ambao kuna watu mnajiita mpaka majina yenye laana, majina ya Ebola, basi huenda taifa letu lina ebola ya ubongo ndiyo maana tunashabikia hata visivyo maana. Tunawashabikia mpaka wezi wa raslimali za nchi, mpaka twiga wanapanda ndege tena za jeshi hatuwaoni. Wezi wa escrow wanalakiwa kama wafalme, maskini wanapigwa na kubambikiziwa kesi na polisi wakidai haki zao. Wakilalamika wanaambiwa ni wachochezi, tuna safari ndefu kweli, ila tutafika siku moja katika nchi ya Kanani.

nikuulize swali: ulishiriki yale maandamano kule Dodoma?
 

WEWE USIPENDE KUWEKA MAMBO YA DINI NA SIASA, WEWE NDO ULISHIRIKI HAYO MAANDAMANO, MIMI KUZALIWA KWANGU CJAWAHI NA CTOWAHI KUFANYA UPUUZI HUO WA KUANDAMANA, WE VP UNAAJIFANYA NABII BONGO HAPA! Khaaaaa weka hoja acha mbwembwe wewe.
 
kumbe hata lugha ya picha huijui, pole weee, niambie maandamano yalifana eeeee!!!! ulipewa sahani ngapi za pilau mdau wa katiba
WEWE USIPENDE KUWEKA MAMBO YA DINI NA SIASA, WEWE NDO ULISHIRIKI HAYO MAANDAMANO, MIMI KUZALIWA KWANGU CJAWAHI NA CTOWAHI KUFANYA UPUUZI HUO WA KUANDAMANA, WE VP UNAAJIFANYA NABII BONGO HAPA! Khaaaaa weka hoja acha mbwembwe wewe.
 
wewe kidudu sura yenyewe kama huyo ndege ulomweka avatar, huna hoja unabwatuka as if akili yako imeharibiwa na chonga.
Lo, ulilelewa na nani wewe aliyekufundisha matusi haya maana hata waliolelewa na ulimwengu hawakufikii!

 
Hi ndio ishu nzima!! Ukweli unaweza kufichwa na wajanja wachache kwa kisingizio chochote. Kikubwa ni jinsi ya kusimamia mambo yaende ambayo ndio katiba.
Ila kwa style hii kutegemea mabadiliko ni kama ndoto.
Naendelea kuwatia shime mlioko mbele katika vita hii ngumu tuko nyuma yenu. Msikate tamaa historia itatuhukumu
 

ni vema ungefunguka kaka tukusikie labda una point za msingi kuhusu katiba inayopendekezwa.!!
 
mkuu ego, hebu acha kuwatibulia magamba mchongo wao kwa maana hicho ndicho kidanganyio chao kwenye katiba.


lukindo na huyo mwakaboko wako kuweni wastarabu jamani,hivi nyie mnashindwa kuelewa kitu gani humu ndani,au mnafanya makusudi?tatizo lukindo umeanza kumfuata mwakaboko mwenzio anakunywa viroba na muda wote analewa ndio maana anafyatuka tu.
 

ni vema ungefunguka kaka tukusikie labda una point za msingi kuhusu katiba inayopendekezwa.!!

Nitajitahidi. Naomba ustahimilivu lama nitashindwa kujieleza.
Binafsi nashindana na nafsi yangu kukata tamaa au kuendelea na vita ya kupigania amani haki na maendeleo ya mtanzania.
Kila mtanzania anatakiwa ajisikie kama mtu muhimu hapa tanzania. Lakini sasa kuna jinsi tumeshikiliwa na kitu fulani hadi kuona kama mipango muhimu si haki itokee kwa mwananchi'wa kawaida'
Neno siasa badala ya kuwa utashi mwema kwa mama Tanzania limekuwa kichaka cha kujificha wenye kutaka agenda zao za kibepari zihalalishwe au kufumbiwa macho na sheria.

Nilitamani wateule wetu wachache waongozwe na utakatifu wa chombo hiki katiba ambacho wamepewa jukumu kukitengeneza lakini kwa udhaifu wa nafsi zao wanajikuta wanapigania masilahi binafsi yao au ya kizazi chao.
Kuanzia mwanzo tumeona maoni na mawazo ya kuleta haki na uwazi katika mchaakato vikijadiliwa katika vikao tofauti vyenye utashi tofauti.

Itakuwaje amani iwe tunu haki isiwe tunu? Itakuwaje kama tusipoenzi ufanyaji kazi kwa bidii na uadilifu???

Tukiwa kwenye familia zetu maadili ya kwanza ni imani bidii uaminifu.

Inakuwaje maoni yetu kwa wingi wetu yanapuuzwa na watu wachache waliopigiwa kura na watu wachache watusemee?

Tanzania tumetoka mbali na safari ni ndefu.
Hakuna msafi ila kuna agenda safi.
Sipati shida kusimamia agenda nzuri toka kwa mtu mwenye historia chafu.
Wala kupinga agenda ya ovyo ya ndugu au rafiki yangu mpenzi.

Tusiogope, tusimamie agenda nzuri. Historia ituhukumu.
Tunaambiwa mwenye haki ataishi milele.
HAKI HAKI HAKI.

Tanzania
 

NAKUSHAURI UKAISOME VIZURI KATIBA INAYOPENDEKEZWA KATIKA SURA YA KWANZA IBARA YA 5 UTAKUTA MAMBO YA TUNU, KISHA SOMA IBARA YA 28 UTAKUTANA NA MAMBO YA MAADILI NA MIIKO YA UONGOZI N.K ILI HOJA ZAKO ULIZOZIWEKA HAPO JUU UPATE KUPATA MAJIBU KWA URAHISI ZAIDI. Upo hapo?
 
Kweli kabisa afu Huyu Haika nampa pole sana kwa kuvamia safari asiyokuwa na uwezo nayo,anajifanya unajua kupinga kila kitu kinachomjia mbele yake,Haika you dont see the difference, haaa huna haya mtoto wa kike kuvaa migauni mikubwa kazi kuchanganya IBara hili kule lile huku afuu unaanza kuleta porojo zako kama vile unacheza kamali!
 
katima tunu umekuta ya haki? Au haki sio jambo la maana sana kama utulivu? Huo ni mtazamo wa katiba ya kuwekewa au ya kuwekwa?
Sifa yako kubwa ungependa ujulikane kama mtoa haki na muwajibikaji au mtulivu?

Mimi naona kama kiongozi natamani sifa yangu kubwa ndani na nje ya nchi iwe utoaji wa haki kwa bidii na jitihada zote ambayo matokeo yake ni amani.

Tunu inayoitwa amani sio tunu ni matokeo ya tunu ya utoaji haki.
Nachotaka kama mwanachi utoaji wa haki iwe kati ya tunu za kustrive kuwa nayo.
 
Asante kwa kunipa pole.
Nimeipokea kwa shukrani.
Ila ni maoni yangu. Toka moyoni mwa Mtanzania mmoja, mimi.
Ila siombi samahani kwa kutofautiana na wewe.
Ningefurahi sana ungekuja na maelezo ya kwanini hayo mambo hayapo hapo. Je ni muhimu kila mtanzania ajitambue kuwa kuwa na bidii na kuwajibika ni kitu kinachotakiwa kimsingi kuliko vyote? Kuwa si kwa bahati tunasogea mbele kama taifa ila ni kwa wote kupeana haki?
 




unawaza kujenga ghorofa angani wewe,nafasi za uteuzi zitafutwe kiushindani unafikiri serikali ni kampuni???? Kachukue fomu mwaka huu ugombee urais tuone kama utayafanya hayo na mawazo yako ya kutawala familia yako,tena unaonekana wewe ni dikteta.
 


Ooooh nikajua unakuja na hoja mpya kumbe ...... Ha ha ha ha naomba ukaiosome katiba ili upate ufahamu zaidi ili siku ya kupiga kura ikifika uwe na maamuzi mwenyewe.
 
Hakuna katiba wala makundi tofauti wala sheria.Dhamana pale mahakamani mpaka mtu anayefanya serikalini akudhamini....kama huna basi pesa yako...kama huna pesa watakupeleka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…