kundi kutajwa katika katiba haitoi haki kama katiba haina mfumo wa kutoa haki

Nilishasahau kuwa kuna watu mna hati miliki. Watu wengine hawaruhusiwi kuchangia kufundisha wala kutoa maoni.

Jamani wale wenzangu tusaidiane kueleweshana. waioona tamko lenye definition ya mtumishi au kiongozi wa umma naomba msaada.
 
hatukuelewi Haika ebu funguka vizuri.
 
hapa ni lazima tutambue kuwa watanzania wote tuna wajibu wa kuhakikisha mifumo ya kitaifa kwanza inakuwepo iliyokaa vizuri na hapo ndio tuangalie kama ni makundi je ni jambo gani ambalo lina umuhimu wa kuingia.

unaweza kuwa msanii, unaweza kuwa mlemavu, unaweza kuwa mwananmke, unaweza kuwa mzee au mwanaume tunategemea serikali kuhakikisha kuwa kila haki iliyotajwa inapatikana, ni wajibu wa bunge kusimamia hilo na kazi ya mahakama kutoa maamuzi kama kuna yeyote anadhani haki yake imekiukwa.

kama hatujaweka mfumo wa serikali uliothabiti je unadhani haki yako hiyo iliyotajwa utaipataje?

kama hatutengenezi bunge kulipa utaalamu na mifumo na nguvu ya kusimamia je unadhani nani atahakikisha unapata haki yako?

kama hatujaweka mfumo ulio huru wa mahakama je unadhani nani atatoa maamuzi ya haki kwako wewe kama haki yako itakiukwa? kumbuka hapa haki yako inapokiukwa katika jambo lolote je ni kina unaweza kuwapeleka katika mahakama na wote unaoweza kuwapeleka mahakamani unaweza kupata maamuzi yaliyo huru na je maamuzi hayo yanaweza kutekelezwa?

haswa fikiria kama unaipeleka serikali mahakamani na hapa sio katika maswala ya kudai malipo maana wengi tumekuwa tukifanya dili chafu huko na malipo tunapata lakini tuzungumzie mfano kiongozi anakuja katika eneo husika anawazuia wakulima kuuza mazao yao kwa soko lililopo na wakulima hawa wanapata hasara je wanaweza kwenda mahakamani wakulima hawa kama wameshawishika kuwa amri ya kiongozi wa serikali imekiuka katiba kwa kumyanyasa mkulima, kumuharibia soko ili wasiolima wapate mazao kwa bei nafuu au kukosa wanunuzi kabisa.

je kiongozi anaweza kutoa maamuzi akapelekwa mahakamani na mahakama zikawa huru kufanya maamuzi.

zipo haki tunazikosa sio kwa sababu hazijatajwa bali kutokana na udhaifu ulioko katika mifumo yetu ya utawala. na hapa wengi wamekuwa wakisema tatizo letu ni utekelezaji, je ni jambo gani linalosababisha tushindwe kutekeleza yale tuliyokubaliana? je unadhani kuna jambo linaweza kufanyika katika mifumo yetu ili mambo yaende vizuri?

hilo ndilo lengo la katiba mpya, kurekebisha pale tulipobaini mapungufu kwa kuweka mifumo yetu ikae sawa na utekelezaji uwezekane.

bado tunayo nafasi ya kurekebishaserikali kila kitu cha msingi ni kuangalia yaliyopendekezwa na kama huoni mapungufu au unaona mapungufu ufanye maamuzi katika kura.

kama kuna mapungufu yanayohitaji kurekebishwa basi piga kura ya hapana wakati ukiwadia ili kutoa nafasi ya marekebisho.

kama unaona kila kitu kimekaa sawa na umeridhika ndio upige kura ya ndio kwa maana kila kitu kimekaa sawa
 
Mifumo na misingi imara ya kila kundi kama ulivyoyaainisha imewekwa na Bunge ndiyo lenye mamlaka na madaraka ya kuisimamia Serikali. Katika Katiba Inayopendekezwa Madaraka ya Bunge yameainishwa katika Ibara ya 131.-(1) Rais kama sehemu ya Bunge atatekeleza mamlaka yote aliyokabidhiwa kwa mujibu wa Katiba hii. (2) Sehemu ya Pili ya Bunge ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano chenye madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.
 
hapa ni lazima tutambue kuwa watanzania wote tuna wajibu wa kuhakikisha mifumo ya kitaifa kwanza inakuwepo iliyokaa vizuri na hapo ndio tuangalie kama ni makundi je ni jambo gani ambalo lina umuhimu wa kuingia.

unaweza kuwa msanii, unaweza kuwa mlemavu, unaweza kuwa mwananmke, unaweza kuwa mzee au mwanaume tunategemea serikali kuhakikisha kuwa kila haki iliyotajwa inapatikana, ni wajibu wa bunge kusimamia hilo na kazi ya mahakama kutoa maamuzi kama kuna yeyote anadhani haki yake imekiukwa.

kama hatujaweka mfumo wa serikali uliothabiti je unadhani haki yako hiyo iliyotajwa utaipataje?

kama hatutengenezi bunge kulipa utaalamu na mifumo na nguvu ya kusimamia je unadhani nani atahakikisha unapata haki yako?

kama hatujaweka mfumo ulio huru wa mahakama je unadhani nani atatoa maamuzi ya haki kwako wewe kama haki yako itakiukwa? kumbuka hapa haki yako inapokiukwa katika jambo lolote je ni kina unaweza kuwapeleka katika mahakama na wote unaoweza kuwapeleka mahakamani unaweza kupata maamuzi yaliyo huru na je maamuzi hayo yanaweza kutekelezwa?

haswa fikiria kama unaipeleka serikali mahakamani na hapa sio katika maswala ya kudai malipo maana wengi tumekuwa tukifanya dili chafu huko na malipo tunapata lakini tuzungumzie mfano kiongozi anakuja katika eneo husika anawazuia wakulima kuuza mazao yao kwa soko lililopo na wakulima hawa wanapata hasara je wanaweza kwenda mahakamani wakulima hawa kama wameshawishika kuwa amri ya kiongozi wa serikali imekiuka katiba kwa kumyanyasa mkulima, kumuharibia soko ili wasiolima wapate mazao kwa bei nafuu au kukosa wanunuzi kabisa.

je kiongozi anaweza kutoa maamuzi akapelekwa mahakamani na mahakama zikawa huru kufanya maamuzi.

zipo haki tunazikosa sio kwa sababu hazijatajwa bali kutokana na udhaifu ulioko katika mifumo yetu ya utawala. na hapa wengi wamekuwa wakisema tatizo letu ni utekelezaji, je ni jambo gani linalosababisha tushindwe kutekeleza yale tuliyokubaliana? je unadhani kuna jambo linaweza kufanyika katika mifumo yetu ili mambo yaende vizuri?

hilo ndilo lengo la katiba mpya, kurekebisha pale tulipobaini mapungufu kwa kuweka mifumo yetu ikae sawa na utekelezaji uwezekane.

bado tunayo nafasi ya kurekebishaserikali kila kitu cha msingi ni kuangalia yaliyopendekezwa na kama huoni mapungufu au unaona mapungufu ufanye maamuzi katika kura.

kama kuna mapungufu yanayohitaji kurekebishwa basi piga kura ya hapana wakati ukiwadia ili kutoa nafasi ya marekebisho.

kama unaona kila kitu kimekaa sawa na umeridhika ndio upige kura ya ndio kwa maana kila kitu kimekaa sawa

Naona umejaribu kugusia sana suala utoaji wa haki. Kiukweli umezungumza jambo zuri sana kwamba tusichekelee suala la kuwa umetajwa ktk katiba pendekezwa naona sio kigezo cha kufurahia sana ila tuangalie imeweka misingi ipi kuhakikisha unapata haki yako bila kikwazo.

Tumeona imezungzia suala la usawa katika uongozi kati ya wanaume na wanawake. Kwa rasimu ya Warioba iliweka bayana kabisa juu ya usawa mfano katika nafasi za ubunge ilitanabaisha wazi kabisa kuwa lazima kuwe na mbunge mwanaume na mwanamke kwa kila jimbo kitu ambacho automatically usawa ulionekana lakini tukija hii haionyeshi huo usawa utapatikana kwa njia zipi. Je watalazimisha vp kwa vyama vya siasa kuwapendekeza wabunge wa jinsia hizi mbili.

Ni ngumu sana kuona ni namna gani hii katiba pendekezwa itasimamia misingi ya haki kwa pande zote yaani upande wa watendaji na wananchi.
 
Mi naona haki ziko vema sana katika hii Katiba Inayopendekezwa wakuu.
 
Hii katiba pendekezwa inategemea kupitia sheria zitakazotungwa na bunge na kutafsiriwa na mahakama ndio ziwe msingi mkubwa wa haki si vibaya lakini tuangalie ni bunge hili hili ndilo linalovuruga sera na mipango ya serikali kwa wabunge wake walio wengi kuegemea kwenye maslahi ya chama badala ya ukweli halisi na kuwatetea wananchi.
 
Siyo haki tu! Ni vema utambue haki inaenda sanjari na wajibu. Hivi unaonekana mtu wa ajabu inawezekanaje wabunge wawe wa jinsia moja tuu? Cha msingi ni kwamba kila mwenye sifa wakati wa mchakato wa kuwapata wanotaka kugombea ubunge, kila mtu anayetaka kuwania nafasi hiyo kwenye jimbo husika afanye hivyo. Ndiyo maana Katiba Inayopendekezwa IMEBAINISHA katika Ibara 139.-(1) juu ya Uchaguzi wa Wabunge, Kila baada ya Bunge kumaliza muda wa maisha yake, kutakuwa na uchaguzi wa Wabunge katika majimbo ya uchaguzi kama itakavyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi utakaofanyika kwa mujibu wa sheria.

(2) Kutakuwa na uchaguzi wa mbunge katika Jimbo la Uchaguzi ikiwa kiti cha Mbunge aliyechaguliwa kuwakilisha jimbo la uchaguzi kitakuwa wazi kwa sababu nyingine yoyote isiyohusika na Bunge kumaliza muda wake.

(3) Endapo tarehe ya Bunge kumaliza muda wake imetangazwa au inafahamika, hakutakuwa na uchaguzi mdogo wa Mbunge kwa mujibu wa ibara ndogo ya (2) ndani ya kipindi cha miezi kumi na miwili kabla ya tarehe hiyo.
 
Swali la msingi ni je kwanini tuendelee kuwa na wabunge wakubebwa badala ya kuchaguliwa kwa kupata kura nyingi zinazomuunga mkono katika jimbo kama katiba inavyojieleza.
 
Rais kwa mamlaka aliyopewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika katiba ya mwaka 1977 (ya sasa) IBARA YA 66 Kifungu cha Kwanza (e) amepewa mamlaka ya kuteua Wabunge wasiozidi 10, pia Kwa mujibu wa Sheria ya Katiba Inayopendekezwa, IBARA YA 129 (2)(c) Nanukuu, "Wabunge wasiozidi 10 watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa wenye sifa za kuwa Wabunge".
nimemaliza kunukuu.

PATA UJUMBE HUO ILI UELEWE.
 
Naona sasa huna la kusema kama Katiba itakuwa inafuata mawazo ya mtu mmoja mmoja hiyo siyo Katiba ya nchi, labda iwe ya familia. Toa hoja yenye mashiko.
 
Hii katiba pendekezwa inategemea kupitia sheria zitakazotungwa na bunge na kutafsiriwa na mahakama ndio ziwe msingi mkubwa wa haki si vibaya lakini tuangalie ni bunge hili hili ndilo linalovuruga sera na mipango ya serikali kwa wabunge wake walio wengi kuegemea kwenye maslahi ya chama badala ya ukweli halisi na kuwatetea wananchi.
Hayo ulosema hayana ukweli wowote we unabashiri tu, kama una uhakika weka ushahidi hapa.
 
nadhani swali alilouliza ni kwa je hivi kuna haja ya kuendelea na wabunge wa kuteuliwa hasa kuteuliwa na raisi.

hapa ni lazima tujiulize hizi majukumu ya bunge ni nini? na je kumpa raisi majukumu ya kuteua wabunge inaathiri vipi kazi ya bunge ya kumsimamia raisi na serikali aliyoiunda badala yake watu hawa watakuwa wakilipa fadhila.

ubunge huu unaweza kuwa kama ni rushwa ya kuwanyamazisha watu hawa katika mambo ambayo serikali imekengeuka.

lakini lipo tatizo la msingi la bunge kuwa na majukumu ya kufanya kazi za kitaalamu.

kwangu mimi sikubaliani kabisa na wabunge waliochaguliwa kwa kura kufanya kazi za kitaalamu wenyewe.

ni bora bunge kuundiwa vyombo vya kitaalamu kufanya kazi za kitaalamu. haiingii akilini mbunge hata kama ana taaluma hiyo lakini hana uzoefy na kazi ya taaluma yake kwenda eti kufanya ukaguzi mfano ukaguzi wa hesabu.

hapa hatuwezi kupata tija kwa taarifa za wataalamu wa serikali kukaguliwa na wanasiasa.

ingekuwa vema tulielekeze bunge letu kufanya kazi kwa utaalamu kuanzia kwenye jimbo mpaka ngazi ya taifa na wabunge wanajadili uchambuzi na mapendekezo ya wataalamu hapo tutapata tija katika bunge.

Rais kwa mamlaka aliyopewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika katiba ya mwaka 1977 (ya sasa) IBARA YA 66 Kifungu cha Kwanza (e) amepewa mamlaka ya kuteua Wabunge wasiozidi 10, pia Kwa mujibu wa Sheria ya Katiba Inayopendekezwa, IBARA YA 129 (2)(c) Nanukuu, "Wabunge wasiozidi 10 watakaoteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa wenye sifa za kuwa Wabunge".
nimemaliza kunukuu.

PATA UJUMBE HUO ILI UELEWE.
 
makundi mbalimbali yamekuwa yakipigania kutajwa katika katiba na hata wengine kudiriki kutaka mambo ambayo kimsingi si ya kuingia katika katiba.

hapa tumejisahau kuwa kinachotusumbua si kutotajwa katika katiba ndio maana hatukuridhika huko nyuma bali kutokuwepo kwa misingi ya kutoa haki pengine katika katiba ndio tatizo kubwa.

jambo la kwanza kwetu sote iwe ni kupigania misingi ya kutoa haki kwa wote ijengwe katika katiba na hapo kila mmoja katika kundi lake dogo haki yake ataipata.

Umelalamika sana siku ya kupiga kura usifanye makosa ili Katiba iweze kutoa haki via Mahakama za Tanzania. Karibu
 
hapa tunajadili ili tuone ni kitu gani ambacho tunakihitaji na tujiulize kama kipo na tufanye maamuzi

Ego najua umeshatumia muda wako kwa umakini sana kuisoma na kuielewa Katiba inayopendekezwa klichobaki sasa ni kufanya maamuzi, kura yako ndiyo hatima yako!jiunga na mamilioni ya wtz kuipa support ili tuendelee kulijenga taifa.
 
binafsi ukiniuliza mtizamo wangu kuhusu katiba iliyopendekezwa ninaionaje nitakuambia nikilinganisha na nyumba basi ninaweza kusema rasimu ni sawa tofali, mchanga na kokoto vilivyorundikwa bila mpangilio unaotufanya tuwe na nyumba ambayo ni katiba.

na hilo ndilo kubwa tunalilokuwa tukihoji kuwa sebule iko wapi?, jiko liko wapi?, dining iko wapi?

hata kama tumetumia mda mwingi, tumetumia gharama nyingi kwa wakandarasi kama hatujapata nyumba kuwaachia wakandarasi hawa kwa kuepuka mda au kuongeza gharama haitusaidii bali inatupa hasara zaidi kwani kutokuwa na nyumba ni hasara zaidi kuliko hapa tulipofikia tukijitahidi nyumba yetu ikamilike.

hapa tunatakiwa kulinganisha hasara tutakayoipata kama taifa kwa kuwa na katiba ambayo haijatengenezwa kutatua changamoto tulizonazo sasa za kila mtu kudai tatizo la nchi yetu ni kuwa mipango mizuri kwenye makaratasi lakini haitekelezi kilichoandikwa na hasara ya pengine kufanya marekebesho ili mfumo wa uongozi uongeze tija katika utendaji.

tujiulize ni katika nyanja ipi tunajenga taifa?

Ego najua umeshatumia muda wako kwa umakini sana kuisoma na kuielewa Katiba inayopendekezwa klichobaki sasa ni kufanya maamuzi, kura yako ndiyo hatima yako!jiunga na mamilioni ya wtz kuipa support ili tuendelee kulijenga taifa.
 
kamwe usikubali kitu usichoridhika nacho kwa kisingizioa chochote, tujadili ili kila mmoja achague kulingana na mtizamo wake kama ameridhika au la lakini si kwa ujinga wa kutojua kilichoandikwa kinamaanisha nini.

yaani ego kaongea maneno mazuri leo sana, kawa mtu wa busara mno
 
sikujui unamaanisha nini lakini kura ndiyo itakayoamua kama katiba inahitaji marekebesho au imekamilika.

lakini kama sote tunaweza kutumia busara kusema turekebishe kwanza linaweza kutusaidia sana.

kwa sasa ni kufikiria kufanya marekebisho kupitia nafasi zilizoko katika mchakato.

Back
Top Bottom