Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

Tuone sasa na kundi la Yanga last season (la Klabu Bingwa):
i)
ii)
iii)
iv)
Last season Yanga ni Wana fainali, wewe wa wapi?
 

Attachments

  • FB_IMG_1686607410508.jpg
    41.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1686587668096.jpg
    37.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1686311253025.jpg
    53 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685989825969.jpg
    35 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685867375406.jpg
    25.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    40.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685849272973.jpg
    54.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685829131664.jpg
    41.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685811806971.jpg
    27.6 KB · Views: 1
Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Wabeba tunguri mna kazi sana,mwisho mtakufa kwa roho mbaya
 
Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Imewachukua Miaka 25 kufika Makundi.

Clement Mzinze Alikuwa hajazaliwa.
Tulianzia kuweka heshima huku, then tunabeba kombe la champions league.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685989825969.jpg
    35 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685867375406.jpg
    25.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    40.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685849272973.jpg
    54.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685829131664.jpg
    41.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685811806971.jpg
    27.6 KB · Views: 1
Za ndaniiii kabisa makolo hawajafanya dawa pale chamazi leo kupigwa nje nje

Vamos power dynamos
 
Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mbumbumbu kama Rage alivyosema.

Jwaneng wamewatowa nyinyi kwa kuwapiga 3 kwa Mkapa

Jwaneng wameingia makundi kwa kuwatowa wababe wenu Orlando Pirates, ni kwa nini huna adabu na huipi heshima yake Jwaneng!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…