CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
ETI Dokta.
DOKTA WA WAPUMBAFU NA MAFWALA.
DOKTA WA WAPUMBAFU NA MAFWALA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hapaTuone sasa na kundi la Yanga last season (la Klabu Bingwa):
i)
ii)
iii)
iv)
Last season Yanga ni Wana fainali, wewe wa wapi?Tuone sasa na kundi la Yanga last season (la Klabu Bingwa):
i)
ii)
iii)
iv)
Sawa Shangazi yupo shirikisho bado kikanuni....Mpira umeingiliwa na kina MamaView attachment 2768269View attachment 2768270
Na utopolo alikuwa na nani?maana hakucheza hata makundiKwa lugha rahisi Kolo alikua na vibonde
Wabeba tunguri mna kazi sana,mwisho mtakufa kwa roho mbayaUnaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?
Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?
Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Raja hakufuzu na sio kwamba ametolwwa!Hebu tujionee wenyewe.
Tulianzia kuweka heshima huku, then tunabeba kombe la champions league.Imewachukua Miaka 25 kufika Makundi.
Clement Mzinze Alikuwa hajazaliwa.
Wewe ni mbumbumbu kama Rage alivyosema.Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni Shangazi yangu wifi yake mama! shikamoo.Sawa Shangazi yupo shirikisho bado kikanuni....
Kuto kufuzu ndio udhaifuRaja hakufuzu na sio kwamba ametolwwa!
Jwaneng kapiga mtu na shoga yakeWewe ni mbumbumbu kama Rage alivyosema.
Jwaneng wamewatowa nyinyi kwa kuwapiga 3 kwa Mkapa
Jwaneng wameingia makundi kwa kuwatowa wababe wenu Orlando Pirates, ni kwa nini huna adabu na huipi heshima yake Jwaneng!