Sasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?Unachokisema K.O ni sawa na Maradona (R.I.P) kufurahia goli la mkono lililopelekea kuchukua WC.
Lakini alijua fika amefanya hujuma.
So mjinga flan ndio atahadaika na hiyo unayoita K.O[emoji2957]
Walio nyuma yao ni ccmHaya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao
Wewe ni miongoni mwa hao wabunge 19 wa viti maalum?Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Acha ujinga jibu hoja,Umeona ume comment mataga
WiziUnajua Ushindi wa kishindo wa CCM umesababishwa na nini
Wametoa siri gani?CDM haina cha kuficha maana ni chama safi!Hujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
Vipi ni agizo kutoka Chamwino? Kama tumeshajivua mbele ya macho ya jumuia ya kimataifa tutumie busara kuficha uchi wetu lakini siyo kwa ulaghai wa kijinga kama huo wa kufoji nyaraka ili kuhararisha wabunge wa viti maalumu!Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Kumbe sasa umetambua kuwa wamefukuzwa!!?!Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Hivi wanaweza kuwa na siri kuliko Dr. Slaa au Zitto?Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Heading andika kundi la covid 19Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika

Hata waseme nasiri zingine zaidi ya wanazo zijuwa au wameletewa na malaika wa viongozi yatakayo aminiwa ni maamuzi ya jana tu hayomengine hayatokuwa tofauti nahisia zawatu kama kuapishwa kwao kitu cha maana nakikubwa sana kwao nikuomba radhi tu pia wasisahau wanatumiwa kimkakati baada yapo kwisha kabisa niwengi wametumika baadae hubakia hovyo kabisaKundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Ona huyu nae alivyo mweupe kichwani kuhusu siasa.
Yani unataka mtu akiwa anatoa Siri aite conference ya Wandishi wa habari na kuanza kuzimwaga public kweli[emoji23].
Unajua Ushindi wa kishindo wa CCM umesababishwa na nini Kama siyo hao watu uliowataja kupeleka mbinu za upande wa pili.
Leo hii unaona Kama hao watu walienda tu kule burebure wakati chama chako kilishinda kiti kimoja tu Cha ubunge.
Wapambe na wafuasi wa CDM akili yenu ya kisiasa Ni ndogo Sana na ndo Maana CCM inaendelea na itaendelea kuwachezea kwa Muda mrefu Sana mpaka mtakapo anza kupata akili ya kudili na Mambo kwa Akili pana ya kisiasa.
sasa kupanga matokeo kunahitaji siri gani?Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Fisiemu mnaumia nini wao kufukuzwa? Kama vp wapeni usajiti huko kwenu. Vp yule aliyewaapishia gerage ?Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga CHADEMA inasambaratika.
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi.
Kamati Kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi.
Wewe kweli hamnazo.Kundi la wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Fisiemu kweli na mbumbumbu sana, yaani waliiba kura mpaka wakasahau mambo ya msingi. Sasa wanakumbuka shuka kumekucha, inachekesha sana kuona wanatumia nguvu sana kurudisha upinzani bungeni ilihali walisema wanataka kubaki wenyeweMnachekesha sana, mmebakiza nguzo moja ya ubatili, nayo ni Job kufanya ubatili aloufanya kwa akina Peter na wenzake.
Zaid ya hapo hamna jingine.
Ifike mahala mjitambue, mjue hakuna chama ndan ya nchi ya vyama vingi kinachoweza kushinda viti vyote vya ubunge kihalali, hakuna na haikaji kutokea.
Sasa hao wamefukuzwa, nenden mkabadilishe kanun za namna ya kuwapata wenyeviti na wajumbe wa Kamati za kudumu za bunge.
Nenden mkaunde kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Nenden mkaunde baraza la mawaziri vivuli
Nendeni mkasafishe kwa mabwana zenu wanaowahonga pesa za miradi, utawala bora na demokrasia ambao mnawaita mabeberu[emoji23]
Mnashangaza si tu duniani, hadi mbinguni[emoji1787]
Zamani nilikuwa nadhani wewe zinachaji, kufa kwa chadema unarefer uchaguzi mkuu wa mwaka huu[emoji848]Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?
Hiyo K.O waliyopigwa CDM unafikiri ingefanikiwa Kama CCM isingekuwa na Siri nzito zinazoihusu CDM?
Tatizo la CDM huwa inakimbilia kufukuza wanachama wake pasipo kufanya udadisi wa tatizo lilipo.
Haya leo hii unawafukuza wanachama 19 pasipo kufanya uchunguzi wa kina watu wengine waliokuwa nyuma Yao.
CCM itaendelea kufaidika na kuwa imara Kupitia CDM maana inajua wazi kuwa Wanachama na Viongozi wa CDM huwa don't care pale wanapo poteza.
Hapa naweza sema umetumia akili kidogoSasa wewe unafikiri Viongozi wa kisiasa wanapatikana kwa njia Safi tu Kama wanavyopatikana Viongozi wa dini?
Tatizo vijana wengi hamuijui siasa na ndo Maana kila siku mnakuja huku Jf kulialia.
Mwenye mbinu za akili ndo huwa anawinn kwenye mapambano ya siasa ziwe mbinu chafu au Safi.
Wahenga walisema; "siasa ni Mchezo mchafu"