The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kesho ni zamu ya nani kutekwa
Pamoja na weupe wao wa mada kama chionda still hawakustahili kutekwaHakuna akili kubwa yyte pale Zaid ya uropokaji na upumbavu mkubwa , Tanzania wajinga ni wengi thus why watu kama hao wa hovyo mnawaona smart
Baada ya kusambaa kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa vijana wawili, Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo, wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni askari polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru, mkoani Arusha.Kwa Imani yangu watarudi salama but ndo mwisho wa kuwepo tena hewani wakihofia yasiwakute tena.
SawaHakuna akili kubwa yyte pale Zaid ya uropokaji na upumbavu mkubwa , Tanzania wajinga ni wengi thus why watu kama hao wa hovyo mnawaona smart
Damu, damu, damu ni tamu sana kwa baadhi ya watu duniani. Any way na wao wana damu na familia zao zina damu. Taifa langu, nchi yangu, Tanganyika yangu.Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa wamevalia kiraia na kujitambulisha kama Askari Polisi kabla ya kuwaweka chini ya ulinzi wahusika hao wawili.
Taarifa zinaeleza kuwa vifaa vyote vya kazi vya kundi hilo, vikiwemo kamera, kompyuta na nyaraka mbalimbali, vilichukuliwa na watu hao bila kuwasilishwa hati yoyote ya upekuzi au maelezo rasmi ya sababu ya ukamataji huo.
Hadi sasa, haijafahamika rasmi ni kituo gani cha polisi kilichohusika na tukio hilo, wala sababu ya ukamataji wa wachokonozi hao ambao wamekuwa wakijulikana kwa kazi zao za ufuatiliaji wa masuala ya kijamii na kisiasa.
Credit: Martinmaranjamasese
Hiyo ni kweli lakini huwezi kutoboa kama wamekushtukiza nyumbani na uko peke yako,kama mpo kikundi hapo sawa.Unajua kitu wasijojua watu ni kwamba, watu kama hao hata wakiwa na miguu ya kuku sio rahisi kuitumia kwenye kundi la watu.Wanajua wakiua mtu ndio hukumu yao ya kifo, na wakiwa watatu nyie mko kumi, hawawezi kuua watu wote kabla hawajadhibitiwa. Na wanajua kuna uwezekano wao kupona ikiwa hawatatumia silaha, kuliko wakitumia
Kwa hiyo inahitaji ujasiri tu katika kuwakabili kama kundi.
Swali moja nataka kuuliza hivi kwanini unakubali mtu akuchukue hana kitambulisho,hana hati ya kupekua au maelezo rasmi ya kukukamata!!!????Ifikie watz tuamke,is better wakuchukue umeshakufa,why not fighting back,you must make sure umeng'ata sikio la mtu kama ni risasi wakupige!!!Tupo kondoo sana yaan.Inakera sana kulialia hivi kila siku,Tarime mboba huckii mambo hayo?Tarime wilaya ya mkoa wa Mara huwez ona ujinga wa namna hii!!!!!!!Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.