PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
H
Hawakufunguliwa kwa mda mrefu mpaka kuwaita watu kutoka sehemu nyingine kwa kuwapigia simu, baada ya watu kufika ndio mlango ukafunguliwa kuwasikiliza.
Sasa tatizo liko wapi. Watu wapo bado wakaruhusu wenzao wachukuliwe usiku? Tena hapo ilihitaji kuongea kwa busara tu, kwamba kama kuna tatizo basi njooni kesho na askari wenye uniform na uongozi wa kijiji sijui, lakini saa hizi si vizuri kuja kukamata watu
 
Sasa ndio nakwambia pamoja na kuwa na watu, hakukua na wakuwazuia kufanya yao.
 
Kuna watu wanafurahia hili jambo la kutekwa lakini wanasahau kwamba kuna wana CCM tena wabunge na wa NEC wanaweza kuingia kwenye huo mtego. Tuombe Mungu haya mambo yaishe.
 
Mimi siungi mkono matusi ni Utovu wa nidhamu kosoa ila sio kwa matusi kwa mtu yoyote aliyekuzidi Umri wametukana matusi gani?
Kama hutaki matusi, usitengeneze mazingira ya watu kukutukana..wewe unawakosea watu halafu unawachagulia cha kusema..?
 
Mimi siungi mkono matusi ni Utovu wa nidhamu kosoa ila sio kwa matusi kwa mtu yoyote aliyekuzidi Umri wametukana matusi gani?
Na je hata kama watukana, kwenye nchi inayozungatia na kujinasibi ni ya utawala wa Sheria, hii Ndio njia sahihi ya kupambana na uhalifu na kutoa Haki?
 
Walipagawa zaidi Mange alivyo wapost na kuwasifu basi ikawa kila siku wana mkejeli Rais na serikali yake.

Wenzao wana kosoa wapo nje ya nchi wao wana kosoa wapo Tanzania.

Hawakutumia busara.

Mungu awasaidie watoke salama.

Ila wakitoka waachane na mambo ya siasa.
Utafika wakati mtagundua kuteka na kuua hakusaidii chochote.
 
Akili kubwa sana hawa jamaa,nawajua.
Tanzania tunakamata watu wenye akili kubwa tunaacha vichaa,inashangaza sana sana.
Jamaa wana akili balaa
 
Akili kubwa sana hawa jamaa,nawajua.
Tanzania tunakamata watu wenye akili kubwa tunaacha vichaa,inashangaza sana sana.
Jamaa wana akili balaa
Hakuna akili kubwa yyte pale Zaid ya uropokaji na upumbavu mkubwa , Tanzania wajinga ni wengi thus why watu kama hao wa hovyo mnawaona smart
 
Yaani bado na nyie wengine mnaruhusu tu watu waliovaa kiraia na kusema wao ni polisi wafanye mambo haya? Piga, ua! Itajulikana mortuary baadae kama kweli ni polisi.
Ajabu sana yaani watanzania Kama mandondocha tu. Watu mnashindwa hata kukaa na mishale ya sumu ndani? Watu wanakuja uwaelewi wachezee mishale ya sumu tu. Kama wale wa tra feki walipo muuwaji si ulisikia vilio pande zote.
Ndiyo maana namuheshimu sana Zakaria wa tarime. Kawatia vilema saaafi kabisa.
 
Hakuna akili kubwa yyte pale Zaid ya uropokaji na upumbavu mkubwa , Tanzania wajinga ni wengi thus why watu kama hao wa hovyo mnawaona smart
Sababu ya kukosoa ccm siyo. Mpumbavu wewe unaeashindwa kujibu hoja zao unakimbilia kuwateka.
Yaani mkizodiwa akili mnawaza kuwauwa tu watu. Sasa nyinyi ndiyo akili imegota kabisa.
 
Back
Top Bottom