PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

PreGE2025 Kundi la “Wachokonozi” wamekamatwa na watu waliodai kuwa ni Askari Polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo wimbi la vijana huku mtandaoni kila mtu ni expert kweny siasa yani mtu akiwez kuleta kahoja tofauti unaonekana genious afu ubaya wengi wao wala hawajui chochote kuhus maswala kisiasa, uongozi Na hata maswal ya kiserikali yanavyoenda upinzani wameshawaingiza kweny mfumo kuwa kuchukia serikali yako ndio usmart huo na hamna kitu chochote cha maana utakachoona serikali inafanya na serikali haiko kwa ajili yako
Umeandika ujinga zaidi kuliko uliyemquote!
 

Attachments

  • Screenshot_20250621_083148_YouTube.jpg
    Screenshot_20250621_083148_YouTube.jpg
    209.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250621_083158_YouTube.jpg
    Screenshot_20250621_083158_YouTube.jpg
    239.2 KB · Views: 21
Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao waliovamia nyumba ya Joseph Mrindoko walikuwa wamevalia kiraia na kujitambulisha kama Askari Polisi kabla ya kuwaweka chini ya ulinzi wahusika hao wawili.

Taarifa zinaeleza kuwa vifaa vyote vya kazi vya kundi hilo, vikiwemo kamera, kompyuta na nyaraka mbalimbali, vilichukuliwa na watu hao bila kuwasilishwa hati yoyote ya upekuzi au maelezo rasmi ya sababu ya ukamataji huo.

Hadi sasa, haijafahamika rasmi ni kituo gani cha polisi kilichohusika na tukio hilo, wala sababu ya ukamataji wa wachokonozi hao ambao wamekuwa wakijulikana kwa kazi zao za ufuatiliaji wa masuala ya kijamii na kisiasa.

Credit: Martinmaranjamasese
Throughout history, mass consciousness has stood as both the engine of transformation and the greatest threat to unjust power. When the masses awaken—becoming aware of their rights, their collective strength, and the structures of exploitation—they inevitably begin to question the legitimacy of those who govern them.
In many political contexts, especially where power is accumulated not to serve but to dominate, such awakening is seen as a threat rather than a virtue.
It is shaking the foundations of comfort built upon the ignorance, division, and passivity of the governed majority of Tanzania.
As the Nigerian writer Chinua Achebe observed, “The trouble with Nigeria is simply and squarely a failure of leadership,” and often, that leadership thrives in darkness and ignorance.

Politicians who are benefiting from the status quo are often threatened by a conscious society because such a society is demanding accountability.
Conscious citizens do not blindly follow authority; they interrogate it. They organize, they protest, they vote with reason—not emotion as how it is being popularized "octoba tunatiki"
Such populations resist manipulation through propagandas, fear, or empty promises since independece. As John Stuart Mill, the British philosopher, once warned, “The worth of a state in the long run is the worth of the individuals composing it.” Politicians who fear mass consciousness fear the rise of individuals who think independently, act ethically, and speak truth to power.

Moreover, mass awakening disarms the tools of control—propaganda, division, and misinformation. These are weapons being used in Tanzania not only to mislead but to immobilize. When people begin to understand how these tools are used against them, they not only resist manipulation but begin to create new narratives of hope and solidarity as contexted in No reforms no election. As Malcolm X put it plainly, “The media's the most powerful entity on earth... because they control the minds of the masses.” Consciousness interrupts this control, forcing leaders to face an electorate that can no longer be soothed by distraction or silenced by fear.

Politicians in Tanzania particularly those attached to chama Cha mapinduzi are strongly resisting mass awakening because it unifies the oppressed. The politics of division—tribalism, racism, religion, gender bias—serve to fragment the population, making collective resistance difficult.
But consciousness reveals that despite differences, people share common struggles: poverty, lack of education, injustice, and oppression. When that unity forms, the current regime will begin begin to crumble. Nelson Mandela wisely stated, “Education is the most powerful weapon which you can use to change the world.” Education—formal or self-directed—is the cornerstone of consciousness. And leaders who hoard education or miseducate the masses do so to delay that very change. However changes are I nevitable.

Furthermore, contemporary awakening of the mass seems to shift the direction of power from top-down to bottom-up. It is challenging not only who rules but how governance operates in Tanzania which is full of corruption, injustice and impunity.
In a conscious society, leadership becomes service, not dominance. Mahatma Gandhi believed that, “The best way to find yourself is to lose yourself in the service of others.” But this philosophy terrifies those whose political careers have been defined not by service but by self-interest. An awakened citizenry becomes a mirror before such leaders, exposing their true reflection.

When all ideological weapons fail—when propaganda loses its grip, and unity among the people grows—oppressive systems often resort to their final and most brutal instrument: the coercive force of the state. The police, military, and security agencies—meant to protect the public—are often manipulated into becoming tools of fear.
Young people, activists, and well-wishers who raise their voices are met with teargas, bullets, abduction, surveillance, or imprisonment. This misuse of state power is a confession of weakness, not strength. As Desmond Tutu once said, “If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor.” When governments silence the awakened, they expose their own moral and political bankruptcy.

Apparently the fear of mass consciousness among many politicians particularly in Tanzania is not irrational—it is deeply rooted in the awareness that power without justice cannot last in the light of truth. Consciousness is the beginning of freedom and the call for accountability. It is the awakening of dignity, the stirring of courage, and the seed of revolution. Martin Luther King Jr. reminded the world that, “Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.” Politicians who detest awakening seek to preserve that danger. But history always bends, slowly but firmly, toward the awakened minds who dare to dream of a better, freer world.
 
Politicians who are benefiting from the status quo are often threatened by a conscious society because such a society is demanding accountability.
Conscious citizens do not blindly follow authority; they interrogate it. They organize, they protest, they vote with reason—not emotion as how it is being popularized
NRNE
 
Wamechukuliwa nao na polisi ama jeshi litakuja kusema wamejiteka ama wametekwa kwa sababu ya wivu wa kimapenzi ?
 

Attachments

  • kip6bJf_zzu5uD4K.mp4
    1.4 MB
Na kwa namna nchi inavyoenda sasa. Mwanaume chumbani au nyumbani mwako jitahidi kuwa na panga hata kipande cha nondo.

Halafu huko mjini hakuna umoja. Hivi kwa mfano mkapanga kila mtaa utaratibu wa kuoeana taarifa kuwa mwenzenu wasiojulikana wamekuja kunichukua, mnisindikize huko kituoni haiwzekani?

Ni kupanga tu, kwa mfano kila kaya yenye hofu, iwe na filimbi. Wakifika tu inapulizwabfilimbi watu wotebmtaani waamke na kila aina ya silaha. Kama ni polisi waoneshe vitambulisho na viongozi wa mtaa wawepo na ikiwezekana kumpigia mkuu wa kituo kama ni kweli wametumwa.

Hili tungeweza kushinda. Kanuni inaruhusu mtuhumiwa akikamatwa, anaweza kufuatana na ndugu kwenda kituoni kujua tatizo.
Sawasawa kabisa. Tatizo Tanzania hatujawahi kupitia kipindi cha misukosuko, hivyo watu wanaogopa sana vitu kama hivi. Mtu mmoja mwenye bastola anawadhibiti watu zaidi ya ishirini, kila mtu anadhani yeye ndie atakuwa wa kwanza kufa. Mara nyinge unakuta ni bastola feki. Kuna nchi hadi askari wanaambiwa mkionekana na silaha basi mtauwawa nyie ni afadhali ijulikane hamna silaha.
 
Yaani bado na nyie wengine mnaruhusu tu watu waliovaa kiraia na kusema wao ni polisi wafanye mambo haya? Piga, ua! Itajulikana mortuary baadae kama kweli ni polisi.
Mkuu!! sio rahisi hivyo, watu wa aina hii walikuja nyumbani saa 5 usiku, wanakuja wengi na silaha mkononi.
 
Mkuu!! sio rahisi hivyo, watu wa aina hii walikuja nyumbani saa 5 usiku, wanakuja wengi na silaha mkononi.
Wanakuja saa tano usiku unawafungulia? Tena hapo ndio rahisi kupiga mbiu ya wezi, majambazi tunaomba msaada! Jamani weeeziiiiii

Mdude alikamatwa mchana kweupe nadhani. Tunaongea mambo kwa ujumla.
 
Wanakuja saa tano usiku unawafungulia? Tena hapo ndio rahisi kupiga mbiu ya wezi, majambazi tunaomba msaada! Jamani weeeziiiiii

Mdude alikamatwa mchana kweupe nadhani. Tunaongea mambo kwa ujumla.
Hawakufunguliwa kwa mda mrefu mpaka kuwaita majirani kwa kuwapigia simu, baada ya watu kufika ndio mlango ukafunguliwa kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom