Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Mikoa tofauti lazima mambo na desturi tofauti,hao wanaotukana wao wana exposure gani?na ujanja wao umeleta faida gani kwa nchi

Yaani mtu kajifungua Tandale,bonyokwa huko anaona wenzie washamba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwaiyo kundi la wadudu ndo wenye exposure kwa huko chuga?
 
Kwaiyo kundi la wadudu ndo wenye exposure kwa huko chuga?
Eleza exposure ni kua na nini?

wa Tz mkishaishi Dar,Tabata,kinondoni huko mmebanana mnajiona mpo mbele sana,au kua na exposure ni kugombania daladala,kuingilia dirishani πŸ˜€ πŸ˜‡

Watu wanaishi lifestyle zao,eti wewe unakasirika πŸ™†

Subiri kimbunga hidaya kikupitie huko πŸ˜„πŸ˜€
 
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
Ulimbukeni ni mwingi sana kwa wengi hapa Arusha.
 
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
Makonda kafanikiwa kuionyesha dunia sura na tabia halisi za vijana wa Arusha.

Nimemuelewa sana Makonda
 
Panya road...
 
Ha ha ha!
Kuna vijana Arusha bangi zimewaathiri vibaya.
 
Imenisaidia nikae kwenye vikao vya kuamua mambo ya msingi ya hili taifa ambayo wapumbavu kama wewe hauwezi hata kujua kama vinafanyika.
😝😝😝Jf kila mtu mkubwa,wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine

Huna lolote
 
Ni wewe unawaona hivyo ila wale jamaa haimaanishi arusha yote iko hivyo. Ni kundi dogo sana. Pili wakazi au wenyeji hawana shida nao. Wewe unaona ni washamba, wenye jiji lao hawana shida nao kabisa. Agree to disagree kila sehem iko tofauti
Mshamba hawezi kumshangaa mshamba mwenzie
 
Imenisaidia nikae kwenye vikao vya kuamua mambo ya msingi ya hili taifa ambayo wapumbavu kama wewe hauwezi hata kujua kama vinafanyika.
Unatuchukuliaje mkuu😁😁😁
 
Wadudu once again!
 
Wadudu tunaowajua ni wale waliokuwa wanazika kwa kutumia mikono bila chepe.. Hao wengine ni wa CCM
 
Na tarakea kuna WAFALME sema wametofutiana sana na wadudu maana wafalme wote wana kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…