bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,776
- 2,393
Makobaz mapumbav sana dahh
Nina uhakika nikipita na tarumbeta ama kigoma cha uruguay, hao wenye vijora wote watalifuata dundo kucheza chura 😁Maaskofu wa katoliki walijiaminisha sana kwamba kondoo ni wa kuburuza tu,kondoo wamesala,wameshtuka
Nimemuona Khadija wangu hapo kwenye hao watu!🤣🤣🤣Njooni huku muone Waktoliki wanaovaa vijora
-----------------
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.
Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.
Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.
Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa
Ukitumia akili sana utaumia ila ukiichukulia kama "kombolela" , utacheka Tu namna hiyo 😁😆😆😆
Hii nchi hapana Kwa kweli
Madem kibao wa kikristo huvaa vijora siku hizi,bara ndiyo usisemeNina uhakika nikipita na tarumbeta ama kigoma cha uruguay, hao wenye vijora wote watalifuata dundo kucheza chura 😁
Joking mkuu usije ukapeleka jina langu huko wakanitafuta na wakati sina ajira wala maisha. Ukipata bhasi mchongo, niletee niishi mkuu
Wakijitikeza na kusema wakatoliki bado mtadai wametumwaWameongozana kama Ngombe, hawakutaka huhojiwa maana tingejua ni wakatiliki toka jimbo gani, utapeli huu
Hao siyo wakatolikiNjooni huku muone Waktoliki wanaovaa vijora
-----------------
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.
Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.
Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.
Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa
Kwani kuna sehemu nimeongelea "uislamu" ama kusema kijora ni vazi la kiislamu ?... UsijishtukieMadem kibao wa kikristo huvaa vijora siku hizi,bara ndiyo usiseme
Kijora siyo vazi la kiislam wala sketi na blauzi siyo vazi la katoliki
Haya yamenikumbusha Yale maandamano ya wamasai.Waulize walitoa tamko gani aliposhambuliwa Padre Kitima na vikosi vya Samia na TISS?
Alafu waambie hao ccm na TISS wapumbavu kuwa Kanisa Katoliki sio sawa na Mwamposa. Wanachokitafuta watakipata soon.
Naona kondoo huaminiHao siyo wakatoliki
Wakifika tu wasali KANUNI YA IMANI halafu tuone midomo yao
Waulizwe maswali mawili matatu kuhusu sakramenti za kanisa
Mnavyojifanya mna akili wakati matutusa tu, vijora viliingiaje kwenye hoja yako,yaani kwa nini kijora!?Kwani kuna sehemu nimeongelea "uislamu" ama kusema kijora ni vazi la kiislamu ?... Usijishtukie
On top of that, kijora ni vazi la stara Ila huwezi kuliona kwenye ibada za katholiki. Sasa kama Jumapili mtu anavaa official, itakuwaje kwa siku ya kwenda ubalozi wa Vatican na barua ya kumpinga Ruwaichi,
Ataenda kama anaenda sokoni?....
Hata sikutaka kuyaongelea haya but ikitengenezwa drama, at least make it perfect japo najua kuna kisanga maana wakatholiki wengi si extrimist na hawatumii muda mwingi kwenye kuongelea dini. So kutoa extreme reactions au kuwanunua si rahisi
Yeahh sana ,Ukitumia akili sana utaumia ila ukiichukulia kama "kombolela" , utacheka Tu namna hiyo 😁
Narudia tena hao siyo wakatoliki.Naona kondoo huamini
Kawaida yenu kuwakataa kondoo waliokata kambaNarudia tena hao siyo wakatoliki.
Tafuteni mbinu nyingine