Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Balozi mwenyewe anaelewa kila kitu kwamba hiyo kitu imetengenezwa - waelezeni hao kwamba ni kanisa moja tu la WARUMI lenye idara ya ujasusi within.

Wachezee haya ma kanisa yetu ya kuuziana maji na mafuta ati upako, Romania Catholic ni level nyingine.
Waabudu sanamu kwa mikwala
 
Hamna mkatoliki hapo hata mmoja, most of them ni waislam wenzetu njaa njaa, 😎
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora :ABDULpls:

-----------------
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

 
Wakristu,hususani RC ni wapole sana aisee!Hawa walipaswa kutandikwa viboko vingi vya shingoni hadi waitike "labekaa" na kukimbia hovyo kuokoa nafsi zao.
Mambo hubadilika,watu wanasikia askofu kalawiti mtoto,padre kashiriki kuua albino,bank ya kanisa imepitisha hela za dili,askofu kala hela za dili, sister katiwa na muimba kwaya, Padre anathomba tu mitaani.. matokeo yake watu wanaamini Hawa wahuni tu
Unapokuja kila siku mahubiri kanisani ni siasa siyo wote watapenda na kukuamini tena
 
Tafuteni mbinu nyingine hii imeshafeli tayari
HAO SIYO WAKATOLIKI ,zaidi sana VATICAN inaelewa vizuri kuhusu mauaji na umwagaji wa damu mlioufanya hapa TANZANIA.

Hao ndio malofa na wapumbuvu waliorubuniwa kwasababu ya njaa zao
Pole sana,naona umewaka
 
Madem kibao wa kikristo huvaa vijora siku hizi,bara ndiyo usiseme
Kijora siyo vazi la kiislam wala sketi na blauzi siyo vazi la katoliki
Mbona hakuna aliyehojiwa? Akaeleza ana andamana kwajili ya nn ? Wamepewa kibali lini? Kiongozi wao yupo wapi
Unapiga vigelegele kutetea ujinga?
Si mlisema maandamano lazima yawe na ujumbe Hawa ujumbe wao ni upi?
 
Mbona hakuna aliyehojiwa? Akaeleza ana andamana kwajili ya nn ? Wamepewa kibali lini? Kiongozi wao yupo wapi
Unapiga vigelegele kutetea ujinga?
Si mlisema maandamano lazima yawe na ujumbe Hawa ujumbe wao ni upi?
Kwani ni maandamano?
 
ICC wanachelewesha sana ndio maana hawa wauaji wanapata muda wa kuwanunua jihadists ili wafanye huu ujinga wanaoufanya.
Mzee kabla ya mwezi wa 3 mambo yatakuwa buru buru - wanaachwa wamalizoe pilau la Mwaka mpya ili safari zianze rasmi.
 
Huyo anayeongoza kitengo cha propaganda ni mzito sana kichwani, sijui kama hata alisoma shule.

Kwanza haoni kitendo cha watu kuandamana hadi kufika ubalozini bila kusumbuliwa na jeshi la polisi kwa kipigwa virungu na kukamatwa inathibitisha aliyewatuma ni mtu gani.

Nawasihi tu hao wajinga wanaofikiri kila mtu atakuwa upande wa uovu kwa vipande vya pesa, hata Kitima na Askofu Ruwaichi wakiondoka, Kanisa katoliki hawatoweza kulitumia katika uovu wao. Hao sio KKKT!
​
 
Back
Top Bottom