Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Wewe ndiyo unaona wamefeli,leo taarifa za habari hiyo itakua habari ya pili,ina athari haitoondoka tupu
Ona hili bumunda! lenye chuki na UKATOLIKI wewe halijui kanisa katoliki vizuri, baloz wa Vatican na TEC wao ni kitu kimoja.
hawez kufanya maamuzi ya kuwafurahisha wauaji wakubwa nyie wafuga majini.
Huo ujinga wenu pelekeni Kwa kina Malasusa.
 
Huo ni ujingaujinga mtupu.Sifa kuu ya mwanapropaganda ni kushawishi,kuaminisha na ufundi wa kupindisha hoja ikubalike vema.Sasa hao bloody mbuzis mbona wamefeli sehemu zote?
Katika siasa Hakuna Ubaya Falsafa ya Ubaya unategemea na upande ambao mtu ameuegemea

Nawachukia ccm tena sana lakini pia Nina wasifu maana wameweza kutugeuza wajinga for decades na movement zao zinakuwa successful,


Lazima tukubali sisi tunao wapinga followers wetu ni wajinga zaidi kuliko hata followers wa ccm , Laiti kama isingelikuwa hivyo ccm isingekuwa hapo ilipo kitambo ,

Umeona huo ujinga walioufanya wakwenda katka embassy ya vatcan basi Kuna majinga mengi mitaani yataamini huo upumbavu
 
Waulize walitoa tamko gani aliposhambuliwa Padre Kitima na vikosi vya Samia na TISS?

Alafu waambie hao ccm na TISS wapumbavu kuwa Kanisa Katoliki sio sawa na Mwamposa. Wanachokitafuta watakipata soon.
Swali hilo gumu kwao.
Ila Sasa kanisa liwasikilize wavaa madera ya Tandale? Unaenda kuwasilisha hoja kubwa kama hiyo na kepu kichwani na dera lako? Kesho waibuke na kanzu na kobazi zao labda watasikilizwa!
 
Kwani kuna sehemu nimeongelea "uislamu" ama kusema kijora ni vazi la kiislamu ?... Usijishtukie

On top of that, kijora ni vazi la stara Ila huwezi kuliona kwenye ibada za katholiki. Sasa kama Jumapili mtu anavaa official, itakuwaje kwa siku ya kwenda ubalozi wa Vatican na barua ya kumpinga Ruwaichi,

Ataenda kama anaenda sokoni?....

Hata sikutaka kuyaongelea haya but ikitengenezwa drama, at least make it perfect japo najua kuna kisanga maana wakatholiki wengi si extrimist na hawatumii muda mwingi kwenye kuongelea dini. So kutoa extreme reactions au kuwanunua si rahisi
Ni Wafuasi wa Nwamposa!
 
Hao 100 inabidi waletwe pale uwanja wa mkapa watandikwe fimbo za kutosha huku wakirushwa live kwenye media zote iwe funzo kwa wasaliti wengine!, haiwezekani sisi tuipambanie nchi wao watusaliti njiani waturudishe nyuma.
mbona wana enda kanisani kunakohubiriwa haki wanaacha amani
 
Hao dawa yao, nikuita mmoja mmoja ndani ya chumba,
anatoa ID yake,
anapigwa na picha,
Anarekodiwa mahojiano.
Kisha anapewa buku ya nauli.
Hao siyo wa kuwapa hata thumni.Watanunulia maji ya kunywaNi mahojoano tata na ya kina yakijiegemeza kwenye ukatokiki halafu wanapewa lift hadi nyumbani kwa wazazi wao.
Kosa kubwa TEC Kujigeuza kuwa baraza la chadema
Changamoto yako ni kutafsiri mambo mwisho wa urefu wa pua yako iliyo bapa.Jitahidi hata kwa kujiliza machozi uwe unaigaiga matumizi mema ya akili za wengine.
 
Maaskofu wa katoliki walijiaminisha sana kwamba kondoo ni wa kuburuza tu,kondoo wamesala,wameshtuka
Mkuu ushaona wakatoliki wamevaa madera? Madera unajua yanavaliwa na watu wa aina gani. Hafu wanavaaje dera bila kobazi??Inasikitisha sana.
 
Balozi mwenyewe anaelewa kila kitu kwamba hiyo kitu imetengenezwa - waelezeni hao kwamba ni kanisa moja tu la WARUMI lenye idara ya ujasusi within.

Wayachezee haya ma kanisa yetu ya kuuziana maji na mafuta ati upako, Romania Catholic ni level nyingine.
Nataka kuuliza wanajua kama Pope Leo ambaye ndiye mkuu wa kanisa Kwa sasa anajua atrocities zilizotokea Tanzania?

 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Huyu Mjinga, waziri mkuu BATILI aache huu ujinga wake mara moja.
 
Ona hili bumunda! lenye chuki na UKATOLIKI wewe halijui kanisa katoliki vizuri, baloz wa Vatican na TEC wao ni kitu kimoja.
hawez kufanya maamuzi ya kuwafurahisha wauaji wakubwa nyie wafuga majini.
Huo ujinga wenu pelekeni Kwa kina Malasusa.
Ndiyo maana hupiga magoti mbele ya sanamu la zege la kike
 
Back
Top Bottom