Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Kuna wakatoliki zaidi ya mamillioni, hawa wallioandamana hawafiki 100. Hawajui utaratibu wa kikatoliki. Hii ni project ya Samia na mtoto wake Abdul. Hawa kwanza hawakai kama wakatoliki....Ni waswahili na waislaam wa magengeni waliofundishwa kusema uongo. Mafala hawa....Mbona maandamano yanafanyika, NANI AMERUHUSU?
 
Yaani kwa ujinga wanafikiri Balozi wa Papa hapa nchini hawasiliani na Balaza la maaskofu, kwamba hajui kinachoendelea nchini ? Ha ha ha sasa ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku, kila tawi ukishika linadondoka na wewe.
Kwataarifa yao vikao vyote vya TEC anakuwemo
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Huu mchezo anaocheza Samia na Mwigulu Nchemba wa kupimana nguvu na Kanisa Katoliki utamuacha pabaya sana. Tukianzia na Jaribio la kumuua Dr. Kitima, kutekwa kwa baadhi ya Mapadri wa Kanisa Katoliki na kufungiwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ni dhahiri Samia ana vita na Ukristo.
 
Wana kibali cha kuandamana? Serikali ya ki analog anatengeneza maandamano ya kitoto, ndio TISS inafanya huu ujinga, Trump angekuja kukamata kuku mwingine huku.
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Hao.wote watakula ni malofa.Siyo waumini.
Walifika na vyeti vya ubatizo.
 
Watanzania wanatakiwa kuwekewa AI kichwani ,badala ya kudai sadaka zao zinazokwenda vatcan wako bize na nosense issues
 
Hamna jina jingine linalowafaa zaidi ya kuendelea kuwaita Malofa.
Malofa wameandamana. Wamepata wapi kibali cha kuandama?
Cc. MULIRO
 
Hao sio wakatoliki, ni mamluki wa kisiasa, katoliki haiwezi kuwa na waumini watovu wa nidhamu kwa viongozi wao kiasi hicho
 
Ningekua mlinzi pale getini Kila mtu angeingia kwa staili yake. Kuna ambae angesali sala ya Mtakatifu Inyasi, ungamo la dhambi, Sala ya Asubuhi, Sala ya jioni, Nicene creed, kanuni ya mani ya nitumie, Mwanzo wa litania za watakatifu na vitu mbalimbali vya kikatoliki.
 
Kanuni ya imani tu hao wote wangepoteana kama kumbi kumbi.

Kanisa ni moja tu Takatifu katoliki la mitume
 
Kwa hiyo wanataka vatikani isemeje? Kuufurusha ubalozi huo nchini nako ni shughuli pevu
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Hakuna mkristo hapo!
 
Back
Top Bottom