Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Hawa ilitakiwa wakifika wakatibishwe ndani lifungwe geti wachezee sana stiki matako na migongoni
Hujawahi ona kondoo mwenye kichaa ndiyo maanaAngalia Vizuri.
Hao sio kondoo Ni Mbuzi wewe
Wanataka huruma ya kanisa la haki . Pamoja na kupata ushindi haramu wa 98% , kweli polepole alisema mnaweza kujitangaza mmeshinda ila ukapata tabu sana kuwaongoza watu wasiyo kupenda . pamoja na kuteka na kuua raia kila siku lakini bado hawana amani kwa kutokutenda haki ya uchaguzi.Maaskofu wa katoliki walijiaminisha sana kwamba kondoo ni wa kuburuza tu,kondoo wamesala,wameshtuka
Ndio propaganda hizo , Ukijua propaganda how it does it work ndio hiyo SasaUnajiuliza alie tunga hii script ana elimu gani? Ana cheo gani katika Taifa hili
Watu wametulia nchi inaenda unasema wanapata tabu kuongoza!?..wanaopata tabu TEC maana walilotaka halijawaWanataka huruma ya kanisa la haki . Pamoja na kupata ushindi haramu wa 98% , kweli polepole alisema mnaweza kujitangaza mmeshinda ila ukapata tabu sana kuwaongoza watu wasiyo kupenda . pamoja na kuteka na kuua raia kila siku lakini bado hawana amani kwa kutokutenda haki ya uchaguzi.
Huo ni ujingaujinga mtupu.Sifa kuu ya mwanapropaganda ni kushawishi,kuaminisha na ufundi wa kupindisha hoja ikubalike vema.Sasa hao bloody mbuzis mbona wamefeli sehemu zote?Ndio propaganda hizo , Ukijua propaganda how it does it work ndio hiyo Sasa
Wewe ndiyo unaona wamefeli,leo taarifa za habari hiyo itakua habari ya pili,ina athari haitoondoka tupuHuo ni ujingaujinga mtupu.Sifa kuu ya mwanapropaganda ni kushawishi,kuaminisha na ufundi wa kupindisha hoja ikubalike vema.Sasa hao bloody mbuzis mbona wamefeli sehemu zote?
Kuna vipenyo kibao katolikiBila shaka wasuka aibu hizi ni wahuni wasiojua hata Kanisa Katoliki linafanya kazi namna gani. Bahati mbaya hii michezo huyo huyo balozi anajipatia ushahidi wa ujinga ulipofikia hapa Tanzania. Wapumbavu wachache wanatudhalilisha sana.
Hukuviona vijora kwenye video ama hujui ni Sare rasmi ya kwenye vigoma na shughuli za uswazi?..Mnavyojifanya mna akili wakati matutusa tu, vijora viliingiaje kwenye hoja yako,yaani kwa nini kijora!?
Kumbe ni nini?. Wasingekuwa wapuuzi wa Lumumba si wangesha mimiwa vyuma vifuani na kwenda kuzikwa kwenye mapori huko???Kwani ni maandamano?
Nimemuona mjombaangu hapo na kepu yake. Hanaga akili huyo jamaa, yeye ukimpa miambili ya sigara anafanya jambo bila kujali athari zake. Wengi hawajui hata hiyo barua imeandikwa kitu gani..wamevaa madera wakafata wengine wanapokwenda.Huku ndo kulipwa siyo kwa Oct29! Hawalijui kanisa la Roma hawa, wanadhani huo ubarozi ni wa Zanzibar.Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora
-----------------
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.
Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.
Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.
Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa
Hao siyo wa kuwapa hata thumni.Watanunulia maji ya kunywa.Ni mahojoano tata na ya kina yakijiegemeza kwenye ukatokiki halafu wanapewa lift hadi nyumbani kwa wazazi wao.Hao dawa yao, nikuita mmoja mmoja ndani ya chumba,
anatoa ID yake,
anapigwa na picha,
Anarekodiwa mahojiano.
Kisha anapewa buku ya nauli.
Wewe tu unapost kama 100 kwenye huu uzi.Ukitaka kujua jf imejaa wakristo, angalia huu Uzi au wa kuhusu katoliki unavyokimbia