Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza

Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Je nani amewapa kibali cha kuandamana ?
Je ikitokea leo watu wakaandamana kwa kero za maji watapewa kibali au watapigwa mabomu na risasi ?
Aliyewatuma hafikirii vizuri.
 
Muuaji wenu atataabika sana, ana tapatapa apendwe na Kisani, wakristo ni haki tu wala sio kuact, so leo anataka huruma ya Kanisa? Hadi anatafuta Jihadists waende kuandama kuwa ni wakatoliki, bure kabisa.

Kwani si ana ungwa na Mashehe haitoshi?

Limeshiba damu za Watanzania, unafikiri kuua Raia ni kitu cha kuchezea? Atanyongwa.
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Hilo ni kundi la wakatoriki au kungu la wahuni wa CCM na spinning zao. Wakatoriki walioko Dar es Salaam hawawezi kuwa kwa namba hiyo ingekuwa zaidi ya hiyo.
 
😀😀😀
Ccm hao ila
Akili zao ndio
Wameamua kutumia njia hio?
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Rubbish kutumika tu wapumbavu kabisa
 
HA WA N MALIFA WAPUMBAVU SIO WAKATOLIKI

KAMA UNAGAKA KUJUA WAKATOLIKI SUNIRI RUWAICHI ATOE AMRI WAKATOLIKI KWENDA UBALOZI WA VATICAN UONE MOTO.WAKE

HAKUNA WAKATOLIKI WAJINGA MKUU

HII VITA YA DINI WAMECHEMKA HAWAIWEZI
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

sema hii inchi ni ya kipumbavu sijahi ona
 
Watajibiwa kila mmoja apeleke malalamiko kwa Askofu wa jimboni kwake. Nakala kwa parokia na jumuiya yake. Watajulikana wale kweli wakatoliki?
Kisha watajikuta wanatengwa na jirani zao kwenye huko jumuiya kwa kuungana na wauwaji kulisakama kanisa.
 
Kuua binadamu sio mchezo, hiyo kitu ni ogopa inakutafuna hadi unaingia kaburini, kamwe ogopa kucheza na binadamu, ndio kinatokea kwa muuaji wenu, unakumbuka alivyokuwa ana jitapa ohh mimi nimeua sisimizi ohh mimi nimeangushiwa jumba bovu, sasa yako wapi? Ukiwa division Four utabaki hivyo hivyo tu hadi urudi shuleni kurudia mitihani.

Aliambiwa hapa tufanyeni maridhiano kabla uchaguzi si unajua uchu wa madaraka ulikuwa unamtoka, sasa ameambulia kuwa muuaji mkubwa ambae hajatokea katika Africa mashariki, yaani wako same level na Idd Amin Dada.
 
Waulize walitoa tamko gani aliposhambuliwa Padre Kitima na vikosi vya Samia na TISS?

Alafu waambie hao ccm na TISS wapumbavu kuwa Kanisa Katoliki sio sawa na Mwamposa. Wanachokitafuta watakipata soon.
Yaani hawa jamaa akili zao wanazijua wewnyewe...wameona mbinu ya kutumia mashehe ubwabwa inawaharibia wenyewe sasa wanajari mbinu waliofanya kwa chadema na chauma....mimi ni mkatoliki. Kanisa katoliki ni taasisi imara. Hata huu mpango wao utakuwa unajulikana mpaka Vatican. Yaani hata balozi za ulaya marekani wanajua huu ni muendelezo wa kuwanyanyasa wakristu. Akina Abdul wanapata faida gani?
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom