Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Ukiona maandamano hayajavurugwa na TANPOL, jua kuna kitu nyuma ya pazia!
 
Wakitia mguu humo ndani kwa swala hili la kipuuzi Utakuwa ni uvamizi wa nchi nyingine.

Next…

Watajua hawajui
 
Hapo ukiwaambia wafanye ishara ya msalaba, 95% hawataweza. Watawala wa Malawi wanaleta utani katika mambo serious. Yaani wanajifanya kujizima data.
 
Mwigulu, huyo Habibu anazidi kulichafua japo wewe siyo msafi ila unachafuliwa na hivi vijiproject uchwara! Shtuka na achana nao.
Na aliyetoa kibali Cha maandamano ni jumanne ambaye ni muislam. Sasa ulimwalika Kitime ofisini kwako ili umchore? Litakukuteni jambo na hamtaamini! Acheni mara Moja kuwachafua maaskofu na kanisa katoliki!
Hawatanyamaza kwa njia hii mliyoifanya.
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Wakatoliki wa kuchovya hao
 
Ukiona maandamano hayajazuiliwa na policcm jua yako staged na mwanaccm.

Na nimemuona hapo mtu ana kofia ya CCM kabisa.

Hutosikia hapo habari za kibali na wala taarifa yoyote iliyokuwepo in advance.

Hakika CCM imekwisha.
 
Kuna mmoja kijora hakina Mwanandani kabisa maboga yanacheza cheza kama anaenda kucheza chura kwenye kigoma pale Buza....!

Na kwa pembeni Kuna vitoto viwili vya 2000 viko masuruali Mabwanga na vi tishet vyeupe hahaha...
 
Vyombo vya habari na waandishi wa habari, hakuna hata mmoja wao aliyeona umuhimu wa tukio hili?

Viongozi wa maandamano hayo hawajulikani wa ni waumini wa kanisa hilo parishi gani? huyo aliyeshika makaratasi hapo mbele ya ofisi ya ubalozi, yeye ni nani?

Hawa wote walioandamana na kuonekana kwenye picha, wachangiaji woote katika mada hii hakuna hata mmoja wanaemtambua kwa jina na ushiriki wake katika kanisa hili?

Samia na Genge lake wameielekeza nchi sehemu mbaya sana.
 
Yaani kifo cha nyani, miti yote utereza.
Inawezekana wako kwenye nyakati zao za mwisho madarakani.
Si jambo la kawaida watu wenye akili ya kawaida kapanga mipango ya kipumbavu kama hii.
Hawa watu 100 si wakatoliki bali ni aina ya watu walewale waliokuwa wakilipwa 5k kuhudhuria mikutano.
 
Back
Top Bottom