Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

Wahuni wanahangaika sana mwisho ukifika umefika tu hakuna ujanja.
Mwiguru amepata uwaziri mkuu analeta drama za kupambana na TEC na Chadema. Kwa akili yake hivyo vitu vikifutika CCM itakuwa na amani. madaraka yanawatoa usmart kichwani
 
Kusema ukweli wa Mungu hii nchi hatuna viongozi. Tuna wahuni tu mbaya zaidi ni vilaza. Haya mambo ni ya aibu sana. Yaani unalipa watu kabisa ili wakuhalalishie kuteka, kuua na kufira. Dah! Mungu kwa nini umetuacha?
 
Hakuna serikali inatumia gharama kubwa kwenye propaganda kama hii ya kilaza samuya!
Yaani ni ujinga ujinga tu
Yani badala amalize kujenga barabara hizi alizozifunga, inafika miaka 2 sasa barabara hazipitiki, yuko busy kulipa makundi mbalimbali kwa propaganda za kipumbavu. Akitahamaki mitano tena imisha na hana alichofanya.

Kaja na hii movie baada ya ile ya masheikh ubwabwa wa kukata watu vichwa kufeli vibaya sana. Sijui ni kitu gani yeye na mwanae wanachokiweza. Ndio maana Wazanzibari wanadharauliwa sana..
 
Maroboti ya chama cha mkoloni hayo. Mbona hayakuandamana padri alipotekwa.

Yaani kifo cha nyani, miti yote utereza.
Inawezekana wako kwenye nyakati zao za mwisho madarakani.
Si jambo la kawaida watu wenye akili ya kawaida kapanga mipango ya kipumbavu kama hii.
Hawa watu 100 si wakatoliki bali ni aina ya watu walewale waliokuwa wakilipwa 5k kuhudhuria mikutano.
Wanafanya makusudi kuratibu mambo haya ya hovyo huku yakijulikana na kuonekana wazi kuwa ni ya hovyo ndiyo maana hawajajali na wamefanya makusudi kukusanya watu ambao ukiwaangalia tu unajua wazi hawa siyo wakatoliki.

Nia ni kuendelea kulichokoza na kulivunjia heshima kanisa na kuwashusha Maaskofu hadi katika level yao ya upunguani ili wajisahau wajikute wanalumbana nao.

Wanaona wakiendelea kuwachokoza Maaskofu, wanaweza kuwapuuza na kuamua kukaa kimya ambayo pia hawa wahuni wanaona ni pona yao maana wanajua kidogo wataweza kupumua.
 
Wakiambiwa kuwa ni Malofa wanakataa 😃 Barua kama ya Mjumbe wa Nyumba 10 😃
downloadfile-20.jpg

downloadfile-13.jpg
 
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!

----

Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.

Malalamiko hayo yanawalenga Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kutoridhishwa kwa baadhi ya waumini na maudhui ya mahubiri yaliyotolewa na Kardinali Ruwa’ichi wakati wa Misa ya Krismasi, Desemba 25, 2025. Waumini hao, wanadai kuwa lugha iliyotumika madhabahuni ilikuwa na mwelekeo wa ukali, vitisho, na hukumu badala ya kutoa faraja na mafundisho ya upendo.

Wanalalamika kuwa mimbari imetumika kushambulia waumini waliokuwa wamewasilisha hoja zao kwa Balozi wa Vatican hapo awali, jambo ambalo wanadai linakiuka misingi ya kichungaji na heshima ya waumini ndani ya kanisa.

Malalamiko hayo yanamhusisha pia Padri Dkt. Charles Kitima, ambaye anadaiwa na kundi hilo la waumini kukiuka misingi ya utumishi wake kwa kujiingiza katika masuala ya kisiasa

Papa amekausha kumfukuza Kitima?
 
Back
Top Bottom