Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
mbona sisi tunajiunga kwa link na tuko zaidi ya 300?Mpendwa hujasoma hata title ya uzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sisi tunajiunga kwa link na tuko zaidi ya 300?Mpendwa hujasoma hata title ya uzi?
hapana...inazidi hiyo...magroup ya kujiunga kwa link mpaka zaidi ya 300
Mbona mtoa mada kaeleza vizuri au hujui telegram ni nn. Magrup mengi mkuu yanahamia telegram siku hizi hasa haya ya kishule shule yenye watu wengi. Na wasap ukijiunga kwa link inabeba Zaid ya 300Mpendwa hujasoma hata title ya uzi?
Kwenye title amesema group la WhatsApp sio telegram. Na kuhusu hiyo ya link sio kweli mimi jana tu nimejaribu kujoin kwenye group lenye member 256 nikaambiwa lipo full na ndio maana nimekuwa na shauku ya kujua wamewezaje ili na mimi niwashauri wa kule watumie trick hiyoMbona mtoa mada kaeleza vizuri au hujui telegram ni nn. Magrup mengi mkuu yanahamia telegram siku hizi hasa haya ya kishule shule yenye watu wengi. Na wasap ukijiunga kwa link inabeba Zaid ya 300
Huo mfano wako unafanana na mifano ya makundi mengi niliyonayo.Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Llile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba angu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwasasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria alafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
Inasikitisha zaidi makato bodi ya mikopo kuwa ya kinyonyaji 15%Inasikitisha kuona wastaafu wakizungushwa na mafao yao. Jibu ni Tundu Lissu 2020.
usishupaze shingo sana...huenda haujakutana na magroup ya watu 300 lakini yapoKwenye title amesema group la WhatsApp sio telegram
Vijana wengi wamesomeshwa kwa shida na hawana ajira. Wanaobwabwaja humu ni wanufaika tu wa chache wa mfumo-ccmHuu ndio muda ambao ccm watashangaa maana hawataamini kura watakazopewa na wananchi...wengi wana hasira kuanzia familia za waliotumbuliwa kwa uonevu
Katika hilo tuko pamoja mkuu tukutane OctoberVyovyote vile,binafsi huwa namkubali Lissu ni binadamu jasiri.
Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
...
Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
We kwani Group la whatsap linaundwa na Mawe??Jazaneni upepoo... mkimaliza kakojoeni mlale. Kweli mtu na akili zake unakuja kutuambia eti group lako la WhatsApp linakupa taswira ya jinsi Tanzania nzima inavyomkubali Lissu? Hivi zinakutosha kweli?
Umeacha kazi ya Serikali umeenda kufanya biashara na mpaka leo unasurvive meaning mazingira ya biashara yaliyowekwa na Serikali ni mazuri inabidi ushukuru kwa hilo. Nilitegemea useme upo kijiweni huna kazi. Unalalamika umepata Div.1 halafu ukapelekwa kufundisha shule ya msingi, nani alikuambia watu failure ndo wanatakiwa kufundisha shule ya msingi? Yaani bora ulivyoacha kufundisha, maana ungeharibu watoto wetu.
Inasikitisha wahitimu wa vyuo kukosa ajira. Kama serikali imeshindwa kuanzisha viwanda vinavyoajiri basi iwatengenezee mazingira mazuri ya kilimo hasa wale waliosomea agriculture.Inasikitisha zaidi makato bodi ya mikopo kuwa ya kinyonyaji 15%
Toa jina ya hilo group la whatsp tukafurahi na yalipo huko hasa michango ya mawazo na hojaNipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Llile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba angu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwasasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria alafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
Naona unahangaika na uongo wako huo!! Wadanganye wanasaccos wenzako wafuata upepo ndiyo mmefundishwa kufanya kampeni kwa njia hiyo?Nipo kwenye group la graduates mwaka fulani wa nyuma, ambao tulinufaika na Loan board kipindi cha Kikwete, na ajira ya Kwanza(first appointment) tukiwa na Kikwete. Tunakumbushana mengi tu hasa Neema za kipindi hicho cha nyuma.
Wadau wengi wa kundini walitia Nia kupitia chama tawala(sikuona chama pinzani aliyepost kundini ingawa walikuwepo, nawafahamu) picha za kijani zilijaa kwenye devices zetu, hadi watu wakafikia hatua kushauri tuwachangie fedha za kuchukulia fomu, ingawa hoja hiyo ilipotea hewani na wengine waliishia kuleft. Wakati huo watu wenye itikadi tofauti na chama cha kijani walionekana kuwa wachache sana.
Hivi sasa napata picha kuwa kumbe wale walioleft hawakuwa na 'Political tolerance' tuliobaki active kwenye agenda za kisiasa nadhani ni mimi na wenzangu Kama wanne hivi Kati ya wanagroup zaidi ya 300.
Aisee watu ni waoga ati! Llile group limebadili gia angani tangu kutangazwa kwa TL kuwa Mgombea Urais CHADEMA. Wanakijani wanahesabika Kama wakivyohesabika wa rangi nyingine hapo awali. Picha ya Tz yetu kwa sasa nimeipata kupitia grupu langu la wasap. Grupu lina wasomi na maafisa wengi tu walioendelea na masomo hadi PhD. Tulikuwa tunaogopana lakini tangu 3/8/2020 woga umeisha.
Utawala huu umeniadhibu mambo kadhaa makubwa ambayo sitokuja kusahau maishani. Nadhani tupo wengi nyuma ya haya na mengine.
1.Baba angu kastaafu tangu October 2017, yapata miaka miwili na nusu hajapata mafao yake hadi leo. Amehangaika, akapatwa na stroke ingawa alikuwa na historia ya BP ila nadhani hili limechangia. Ameparalaizi kwasasa.
2. Mimi na mdogo wangu tulipata ajira ya ualimu wa sekondari 2009 na 2011. Serikali ikatupeleka kufundisha shule za msingi mwaka 2018. Si vibaya kufundisha msingi lakini iliniuma kuona wenye degree tunapelekwa msingi na wenye diploma wanabaki secondary Schools. Bila kujali seniority kazini(umri kazini) yaani miaka yangu 9 kazini unanipeleka kwenye kazi ambayo sikuisomea na Wala kuifikiria alafu unamwacha dogo wa diploma mwenye miaka 5 kazini. No!! Huu siyo utumishi wa umma.
3. Uhakiki wa vyeti feki ulinifurahisha Sana, niligundua walimu wengi wana vyeti zaidi ya kimoja, yaani waliunga unga elimu(wali resit) na wengine walisomea majina tofauti ili warudie darasa. Cha kushangaza hao hao waliachwa wafundishe sekondari sisi wenye division one(na umahiri katika masomo) tukapelekwa shule za msingi, kisa tunamchalenji hedimasta. Kuna shule ambazo wanafunzi waliandamana kupinga uhamisho onevu wa competent teachers mwaka 2018, waliopelekwa msingi.
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!!
Yapo nimekutana na kundi la shule yangu niliyosoma, tumeunganishwa wanafunzi karibu wote tuliosoma shule hiyo kuanzia mwaka 1998 hadi 2015. Gues what number are we?usishupaze shingo sana...huenda haujakutana na magroup ya watu 300 lakini yapo
WasiojulikanaToa jina ya hilo group la whatsp tukafurahi na yalipo huko hasa michango ya mawazo na hoja