Uchaguzi 2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

Mbona mtoa mada kaeleza vizuri au hujui telegram ni nn. Magrup mengi mkuu yanahamia telegram siku hizi hasa haya ya kishule shule yenye watu wengi. Na wasap ukijiunga kwa link inabeba Zaid ya 300
Kwenye title amesema group la WhatsApp sio telegram. Na kuhusu hiyo ya link sio kweli mimi jana tu nimejaribu kujoin kwenye group lenye member 256 nikaambiwa lipo full na ndio maana nimekuwa na shauku ya kujua wamewezaje ili na mimi niwashauri wa kule watumie trick hiyo
 
Huo mfano wako unafanana na mifano ya makundi mengi niliyonayo.

Yaani watu wanaona TL kama mkombozi.

Siasa zimebadilika
 
Jazaneni upepoo... mkimaliza kakojoeni mlale. Kweli mtu na akili zake unakuja kutuambia eti group lako la WhatsApp linakupa taswira ya jinsi Tanzania nzima inavyomkubali Lissu? Hivi zinakutosha kweli?

Umeacha kazi ya Serikali umeenda kufanya biashara na mpaka leo unasurvive meaning mazingira ya biashara yaliyowekwa na Serikali ni mazuri inabidi ushukuru kwa hilo. Nilitegemea useme upo kijiweni huna kazi. Unalalamika umepata Div.1 halafu ukapelekwa kufundisha shule ya msingi, nani alikuambia watu failure ndo wanatakiwa kufundisha shule ya msingi? Yaani wewe ni bora ulivyoacha kufundisha, maana ungeharibu watoto wetu.
 

Lazia Sultani, pole kwa masahibu uliyoyataja na kuyahusisha na utawala wa sasa. Uamuzi wako kujiunga na upande mwingine wa siasa ni wa kila Mtanzania anayeamini, kama wewe, matatizo yao yatapata mwarobaini.

Ni vizuri kujiuliza huyo wagombea wa upande wa pili wana sifa hizo? Je, kuna ushahidi wowote kuwa wanao uwezo huo? Je, kama viongozi wana nini cha kukumbukwa?
 
We kwani Group la whatsap linaundwa na Mawe??
 
Km maslahi yangu yako vema km napata stahili zangu km kawaida kwa nn niogope kuamishwa kituo cha kazi.. Mm naita kutoka sekondari kwenda msingi ni kuhama kito cha kazi ndani ya wizara ya elimu.
Pia nakumbuka zamani hata darasa la pili na la kwanza kulikuwa na walimu wana uzoefu mkubwa miaka 15 mpaka 30 kazini na mwalimu mkuu au mwalimu wa darasa la tano akiwa na miaka kati ya 3 na 7 kwenye utumishi.

Lisu kuchukua tiketi ya urais ni haki yake na ni wajibu kwa wanompenda kmpigia kura.
Watu tunasahau kuwa msingi kuna uhitaji wa umabiri katika ufaulu kuliko hata sekondari(yaani mtu anaweka kwenye nyumba paa la nondo wakati msingi wa mabua)

Wewe na mdogo wako mlikua shule moja au bahati nzuri tu imetokea kuwa mkapelekwa kufundisha msingi au woote ndo mnamchalenji hedimasta akaamua hivyo?. Grupu la wasapu lina watu mia tatu...hongera jinsi ulivyo makini...km mlikuwa mnaogopa mnadhani sasa kwa kuwa grupu la wasapu limebadilika ndio mnaaminiana?

Mpe pole mzee wetu inawezekana ni Hayo yamesababisha au wengi wanasahau pia mambo ya kifamilia huwaumiza wazee wetu bila wanafamilia kujua kwa kuwa siku zote wanabeba mengi ndani ya mwili na roho zao wakiwa na nia nzuri.

Karibu kwenye kujiajiri hakika umetumia elimu yako vema na hayo ndo maamuzi sahihi kwa msomi nakuombea uajiri na wengine.
Pia nimekumbuka pia mwajiri anakuwa na malengo yake na mwajiriwa pia anamalengo yake mwajiri anapokupeleka sehemu nyingine kuna mawili eidha ukajifunze au ukawafundishe wengine.
Usisahau kuwa tofauti ndogo ndogo ndio huleta tofauti kubwa mfano kati ya wasapu na telegramu.
 
Toa jina ya hilo group la whatsp tukafurahi na yalipo huko hasa michango ya mawazo na hoja
 
Naona unahangaika na uongo wako huo!! Wadanganye wanasaccos wenzako wafuata upepo ndiyo mmefundishwa kufanya kampeni kwa njia hiyo?
 
usishupaze shingo sana...huenda haujakutana na magroup ya watu 300 lakini yapo
Yapo nimekutana na kundi la shule yangu niliyosoma, tumeunganishwa wanafunzi karibu wote tuliosoma shule hiyo kuanzia mwaka 1998 hadi 2015. Gues what number are we?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…