Uchaguzi 2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

Jana nilimtibu mama mmoja 62yrs,akaniambia mwili unamuuma sana anahisi in sababu ya kazi ngumu anayofanya ya kugonga kokoto. Baadae akaniambia yeye ni Mwalimu amestaafu 2018 lakini mpaka leo hajalipwa mafao yake.

Huyo Mother nimemkuta na BP 200/110 mmHg na RBG 15mmol/dl, halafu kachanganyikiwa na kufuatilia pesa yake ya kustaafu amesahau hata kufuatilia NHIF card ya mstaafu na pesa hana anvunja kokoto. Nimemuambia afuatilie hiyo card ya NHIF imesaidie kwenye matibabu.

Magufuli anatesa sana watu,hali ni mbaya sana.
 
Ushahidi upo Mgombea TL ni mprnda haki na utawala bora. Manyanyaso haya hawezi kuyaepuka chini ya mtawala yeyote kutoka ccm
 
Acha uongo hakuna mstaafu asiyelipwa mafao yake zaidi ya miezi sita baada ya kustaafu. Tatizo lenu mnaleta uongo wa kitoto sana.
 
Niliacha kazi ya serikali nikaenda private school, na baadae kwenye biashara za mazao hadi leo hii. Naiona Tanzania yenye HAKI na Usawa mbeleni kama Uongozi utageuka upande wa pili, Binafsi natamani hivyo na dalili naoina.
Time will tell!![emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548]
 
Wewe mwongo
 
Hongereni kwa kuwa na group la WhatsApp lenye members zaidi ya 300
 
Endelea kuota!
 
Rai wapi hao unaowaongelea ? Lissu kamwe hatakuwa rais wa jmt hata kwa kafara za maka
 
Reactions: UCD
Haya na wewe tumekusia subiri October.
 
Hujakutana na wanawake wanaodai mafao ya uzazi...

Hakyanani. Magu!!?
 
Sasa group la WhatsApp linaweza kukupa tathmini ya watanzania zaidi ya mil.50 juu ya nini wanachofikiria?
Hujaelewa pointi ya mleta mada. Ameonesha jinsi siasa zilibafilika ghafla baada ya ujio wa Lissu nothing else
 
Watu Wana mateso sana, wamekata tamaa kabisa wanaona TL labda anaweza kuwa mbadala wa mateso yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…