Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

Chadema vichaa sana,yani leo nyinyi muwe washauri wa CCM??
Pambaneni na hali zenu

Na yule kima lazima apigwe mvua nyingi sana
 
No one can dare

Kikwete atawaua wote
Kikwete yuko radhi aue nchi nzima alimradi tu mambo yake yaende atakavyo, ukiongeza na bibi mvaa lundo la shanga alivyo na gubu, roho mbaya na hila kwa Watanganyika they make a terribly dangerous combination.
 
Wananchi wenyewe wamekuwa brain washed, akitokea mzalendo wanampiga vita, wengine wanavujisha mienendo yao kwa viongoz, wengine wanakuwa hadi chawa, jamii ya mtanzania inahitaji second coming
Exactly, wananchi sisi ndio wasaliti wa kwanza kwa wazalendo, wajasiri na wathubutu ndani ya nchi hii. Hakuna dola isiyoogopa nguvu ya umma dunia nzima, hapa kwetu ni tofauti sababu tumetopea katika usingizi wa pono na uoga, unafiki , majungu, uchawa, ubuyu na bla bla nyingi
 
Naunga mkono hoja , watu makini ccm wapo waunganishe nguvu na Chadema ili aya mafisadi yapukutishwe.

Usalama wa wa taifa , na vyombo vingine kuna watu wema na wazalendo kweli kweli lisadieni Taifa uzuri kila mtu atakufa ila kizazi chake kitaishi , ni mda kama Taifa kushikamana hasa kwa wazalendo wa Taifa hili .wahuni hawatakiwi katika mapambano haya
 
Never hakuna mwenye huo uthubutu, wataweka mikia katikati ya miguu yao na kupiga makofi kwa lolote chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…