DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Naelewa Upande wako Sana..Galilei simuongelei kama scientist nazungumzia fikra na upeo wa watu wa dini kua limited na mambo mpaka wakampiga pin kwa kudhani wao wapo sahihi sana kuhusu wanachoamini na kumwona mzushi kwa alichokigundua
lead between the line blood!
hapa namaanisha jambo mtu analoona ni sahihi halimpi mtu mwingine usahihi wa kulikubali kama ni sahihi mpaka pale atakapo lichunguza na kumpa matokeo yanayofanana na yule wa mwanzo!
Na hii ndo ilipelekea Mysticism nyingi zikafungwa na zikawa kama masimulizi na zikawekewa codes...
Kila masters na Greatmasters wote walikuwa na wanafunzi wao kwanza kabla ya kufundisha kwa umma.
Unafikiri kwa nini?
Yohana mbatizaji alikuwa na wanafunzi,Yesu alikuwa na wanafunzi,Paul alikuwa na companions ,Mtume Mohamed alikuwa na Wanafunzi ambao ndo tunaita maswahaba....
All the mystery books and story ikiwemo Biblia zina code nyingi kumwezesha mtu kuingia katika ulimwengu wa kiroho lakini zimefichwa kwa sababu ya Watu kujipenda wenyewe,na kupenda sifa kuabudiwa kusifiwa na kuogopwa...
Na hata yesu aliamua kuongea Kwa mifano ili wengine wasijue hizo codes Na kuzitumia vbaya mpaka watakapokomaa kiroho..Mathayo 13:10-14
So ushauri wangu kwako
- Spiritual Realm hata kama kweli umeingia au hujaingia haihitaji majigambo wala matangazo kwamba wewe ni nani na nani akujue..
- Jitahidi kung'arisha intuition yako na Insight kujua yupi anachunguza yupi anamock yupi anajaribu kurekebisha na yupi anarekebisha,Yupi rafiki na yupi adui.
- Alwayz naamini Kwamba Mimi nikijua kitu bhasi kuna watu wanajua hicho kitu miaka zaman kabla yangu na pengine wanajua sana kunizidi na kila siku naamini katika Maoni ya watu na nakushauri fnya hivyo pia nimeangalia Jinsi unavyojibu watu its like you hold all truth...