ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
CC: Saint Anne kwa ufafanuzi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleza vyema sana, 100%Kunena kwa Lugha au Glossolalia let me talk on 3 persepectives...
Kisayansi/Afya..
Kunena kwa lugha au Glossolalia kisayansi inakuwa associated na Magonjwa ya Afya ya Akili kama Schizophrenia ,Bipolar na mania...
Kwa sababu Mtu yoyote anayejiona kama anaongea na mtu Mwingine ambaye hamuoni na anaona kama anamuona huku akimwambia vitu visivyoeleweka yeye akiamini Vinaeleweka hiyo 2⁰ Mania au bipolar na huenda ikawa schizophrenia kabisa kwa Visual na mind halucination..
Na haipingiki ukija kwangu unanena kwa lugha nakuchoma Haloperidol za kutosha ili urudi sawa...
Kibiblia na kidini
Haipingiki kwamba Kunena kwa lugha ni karama ya roho ila yenye utaratibu wake katika kuifanya Uataratibu huo umewekwa kwenye 1 wakorintho 14..
Paulo anasema kuwa ziko sauti Nyingi duniani na zote zina maana... 1 Wakorintho 14:10
View attachment 2777419
Na utaratibu aliuweka mzuri kwamba ukitaka kunena kwa lugha basi Wanene wachache na wengine watafasiri kinenwacho.. 1 Wakorintho 14:27-28
View attachment 2777423
Wanachokifanya walokole Ndo kitu Paulo Amekiita kama Wazimu kwenye 1Wakorintho 14 :23-25
na anasisitiza Bora kutoa Hotuba ila sio Kuzungumza lugha isiyoeleweka...
Ieleweke kwamba neno Lililotumika hapo kama wajinga ni
View attachment 2777428
Sasa najua unaweza ukaja ukasema neno kuhusu Wajinga wanapoingia...
Sasa hii ni tafsiri kwa lugha ya Kingereza...
View attachment 2777444
Na pia unaweza ukaona katika Lugha ya Kigreek fungu hilo ni...
"Εἰ οὖν συνέλθῃ ἡ ἐκκλησία ὅλη ἐπὶ τὸ αὐτὸ καὶ πάντες γλώσσαις λαλήσουσιν, εἰσέλθωσιν δὲ ἰδιῶται ἢ ἄπιστοι, οὐκ ἐροῦσιν ὅτι μαίνεσθε; εἰ δὲ πάντες προφητεύουσιν, εἰσέλθῃ δέ τις ἄπιστος ἢ ἰδιώτης, ἐλέγχεται ὑπὸ πάντων, ἀνακρίνεται ὑπὸ πάντων, τὰ κρυπτὰ τῆς καρδίας αὐτοῦ φανερά γίνεται, καὶ οὕτως πεσὼν ἐπὶ τὸ πρόσωπον αὐτοῦ προσκυνήσει τὸν Θεὸν, ἐξαγγέλλων ὅτι ὄντως ὁ Θεὸς ἐν ὑμῖν ἐστιν"
sasa neno " ἰδιώτης" ambalo Kiswahili wametafsiri kama Mjinga lina maana ya Mtu asiyejua,layman ama Mtu kutoka Sehemu nyingine au outsid...
My take kuhusu Kunena kwa lugha kwenye biblia naconclude kama Paulo alivyoconclude tu kwenye hilo 1 Wakorintho 14:36
View attachment 2777448
Na PERSPECTIVE YA MWISHO NI WALE WAFATA MKUMBO..
1 Cor 14:2-4CC: Saint Anne kwa ufafanuzi zaidi
Kunena kwa lugha yatakiwa wengine wakuelewe unachosema.Hawaongei na Mwanadamu wala malaika ni Mungu mwenyewe.
So, unaelewa unachokinena?1 Cor 14:2-4
Si kila mtu anapewa hiyo nafasi.
Hata Mimi nilikuwa nawaza kama Ninyi kabla sijapewa hiyo nafasi.
Kuna vitu ni vigumu kuelewa Kwa akili ya kibonadamu Kwa sababu ni mambo ya ulimwengu wa Roho, cha kushangaza mchawi akitamka maneno yake ya ajabu ajabu utamwamini au mganga ,hizo ndio password za kuingia ulimwengu wa kiroho Kuna lugha zakeSisi Wakatoliki hatunaga hizo swaga. Hivyo nitakuwa muongo kuwasemea hao wanenaji. Labda waje wanenaji wenyewe watusimulie hali wanayojisikia.
Naelewa ndiyo.So, unaelewa unachokinena?
Waliopo pembeni wanaelewa nini unaongea?
Au unaongea na Mungu, sisi hayatuhusu?
Kuna sehemu yoyote katika biblia unaweza kunipa reference ya unenaji huo wa lugha?Naelewa ndiyo.
Naongea na Mungu ndiyo,
Walio pembeni hawanihusu maana nanena na Mungu nikiwa pekeyangu.
Kwa hiyo situmii kama showoff kuwaonyesha wengine, bali nanena na Mungu wangu , nikiwa pekeyangu, Kwa msaada wa Roho Mtakatifu na ndiye anayenipa kutafasiri.
Kuna wakati nakosa namna nzuri ya kujieleza mbele za Mungu,, hapo ndipo Roho Mtakatifu hunisaidia kuomba sawa na Rom 8:27
Acha kuwapiga watu mikwara,we toa ushuhuda wako sio mpk tukuulize,,maatheist wako weng tu dunian,kwa imani yako wachina na wahindi wote ni maatheist mana hawaamini Mungu unaemuamini ww na bado wanaendelea fresh na maisha yao,vip mungu anapenda wao waendelee na kutokumuamini?!Ma lay man wasio uelewa Ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi wanakejeli kitu
ambacho kipo mbali na ufahamu wao,
narudia wote mnaokejeli kunena kwa lugha hawajawahi kuingia Spiritual realm
wengi wenu humu hua mnasikia tu habari za Mungu kwa nadharia na mapokeo
nakuambieni siku mkizama spiritual and taste God power mtarudi humu kuomba msamaha kwa ujinga mnaoufanya,
halafu kingine ile kitu inakuja baada ya kufurika roho mtakatifu na mnajua Holy Spirit
hakejeliwi hata robo mnacho kitafuta mtakipata
mimi mwanzo nilikua na misimamo ya kiatheist humu JF
niulizeni kilichonikuta mpaka nikageuka
hivi mnajua Pendo la Mungu kwenye maisha yenu nyie Wanadamu?
hivi mnajua kusudi la Yesu Kristo kwenye Maisha yenu?
anyway sina mengi ya kueleza maana hii ni mada nyingine ila nawasihi stop joking na kukejeri
Holy Spirit!
muwe na siku njema!
ndugu hivi mbona una utumwa wa fikra wapi nimeeleza hayo mapigo ni mabaya?Acha kuwapiga watu mikwara,we toa ushuhuda wako sio mpk tukuulize,,maatheist wako weng tu dunian,kwa imani yako wachina na wahindi wote ni maatheist mana hawaamini Mungu unaemuamini ww na bado wanaendelea fresh na maisha yao,vip mungu anapenda wao waendelee na kutokumuamini?!
Wewe atheist mchimba chumvi umetingwa na maisha unateseka kila siku ukadhan ni mapigo Mungu kakupa kwa ww kuwa atheist wakat kuhangaika ni asili yako
You're missin my whole point here mkuu,unaweza usiwe great thinker ila atleast fanya reasoning wakat unatafsiri mambo yanayokutokea kwny maisha yako,Km hilo jambo la upendo Mungu kalitumia kukuonesha ukuu wake vip ww unastahir sana kuliko mabilion ya watu wasiomuaminindugu hivi mbona una utumwa wa fikra wapi nimeeleza hayo mapigo ni mabaya?
halafu naona unabisha mpaka ukweli nao ujua mimi
Mungu kamwe hawezi mpiga mtu kwa mabaya mimi alinionesha jambo la upendo kiasi kwamba nilijuta kwanini nilikua nampinga mwanzo
kiufupi mkwara wangu sio wa mabaya naomba hicho tambua mkuu
kingine natoa experience kwamba kitu ambacho hukijui siku ukijua uhalisia utabadilisha mtazamo kukihusu,
sorry kama nimekuudhi kwa namna moja au nyingine ila
acha kejeli hahaaaha eti atheist mchimba chumvi
nimecheka JF kuna watu aisee!
sorry nimeshindwa kutumia reasoning hapo kuweka mambo sawa nakiri kutobalanceYou're missin my whole point here mkuu,unaweza usiwe great thinker ila atleast fanya reasoning wakat unatafsiri mambo yanayokutokea kwny maisha yako,Km hilo jambo la upendo Mungu kalitumia kukuonesha ukuu wake vip ww unastahir sana kuliko mabilion ya watu wasiomuamini
Mbona nimetoa vifungu pale juuKuna sehemu yoyote katika biblia unaweza kunipa reference ya unenaji huo wa lugha?
Heeeh! Hongera sanaMa lay man wasio uelewa Ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi wanakejeli kitu
ambacho kipo mbali na ufahamu wao,
narudia wote mnaokejeli kunena kwa lugha hawajawahi kuingia Spiritual realm
wengi wenu humu hua mnasikia tu habari za Mungu kwa nadharia na mapokeo
nakuambieni siku mkizama spiritual and taste God power mtarudi humu kuomba msamaha kwa ujinga mnaoufanya,
halafu kingine ile kitu inakuja baada ya kufurika roho mtakatifu na mnajua Holy Spirit
hakejeliwi hata robo mnacho kitafuta mtakipata
mimi mwanzo nilikua na misimamo ya kiatheist humu JF
niulizeni kilichonikuta mpaka nikageuka
hivi mnajua Pendo la Mungu kwenye maisha yenu nyie Wanadamu?
hivi mnajua kusudi la Yesu Kristo kwenye Maisha yenu?
anyway sina mengi ya kueleza maana hii ni mada nyingine ila nawasihi stop joking na kukejeri
Holy Spirit!
muwe na siku njema!
Kwanza kabisa nakupongeza kwa kutambua tarehe na kuleta mjadala huu siku ya matayarisho kwa ajili maadhimisho ya siku ya afya ya akili.Wakuu,
Hapa duniani Kuna Imani nyingi, Kuna watu ambao hawaamini Mungu (atheists), Kuna waislam,Kuna wabudha. Kuna wakatoliki,wasabato na Kuna hawa wahusika wenyewe (walokole na wengineo).
Ninapenda kujua mitazamo yenu juu ya Hawa watu kunena kwa lugha.
Je ni Mungu au sio?
A) Wanaosema ni Mungu (walokole nk.)
Mechanism ikoje? Ukiwa unanena unajisikiaje? Je unajielewa unachosema?Nani anacontrol mdomo wako?Unapanga cha kuomba? Kuna faida gani?
B) Wanaosema si Mungu
Mechanism ikoje? Ni kweli wananena au usanii tu? Je nini hufanyika pale? Kwanini walokole wengi waumini wa kawaida tu nao wanene? Kuna siri gani nyuma ya kunena kwa lugha? Je wanajitambua au wanatawaliwa na nguvu nje ya akili Yao? Ni nguvu gani hiyo? Nini huendelea kwenye ubongo wa mtu pale anaponena kwa lugha?(mental state)
Uhakika Bro Mshana Jr Tate Mkuu adriz Che mittoga Walker Water Smotor Surya FaizaFoxy KENZY Mcqueenen Kiranga mwakabonao CAPO DELGADO Blood of Jesus