Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

Ma lay man wasio uelewa Ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi wanakejeli kitu
ambacho kipo mbali na ufahamu wao,
narudia wote mnaokejeli kunena kwa lugha hawajawahi kuingia Spiritual realm
wengi wenu humu hua mnasikia tu habari za Mungu kwa nadharia na mapokeo
nakuambieni siku mkizama spiritual and taste God power mtarudi humu kuomba msamaha kwa ujinga mnaoufanya,

halafu kingine ile kitu inakuja baada ya kufurika roho mtakatifu na mnajua Holy Spirit
hakejeliwi hata robo mnacho kitafuta mtakipata
mimi mwanzo nilikua na misimamo ya kiatheist humu JF
niulizeni kilichonikuta mpaka nikageuka
hivi mnajua Pendo la Mungu kwenye maisha yenu nyie Wanadamu?
hivi mnajua kusudi la Yesu Kristo kwenye Maisha yenu?

anyway sina mengi ya kueleza maana hii ni mada nyingine ila nawasihi stop joking na kukejeri
Holy Spirit!

muwe na siku njema!
Kama ulivyotuambia, Napenda kujua zaidi
Nini kilichokukuta mpaka ukageuka
Ukajua Pendo la Mungu!?
 
Naelewa ndiyo.

Naongea na Mungu ndiyo,
Walio pembeni hawanihusu maana nanena na Mungu nikiwa pekeyangu.
Kwa hiyo situmii kama showoff kuwaonyesha wengine, bali nanena na Mungu wangu , nikiwa pekeyangu, Kwa msaada wa Roho Mtakatifu na ndiye anayenipa kutafasiri.

Kuna wakati nakosa namna nzuri ya kujieleza mbele za Mungu,, hapo ndipo Roho Mtakatifu hunisaidia kuomba sawa na Rom 8:27
Soma 1 Wakorintho 14 yote kuhusu Karma za Rohoni
 
Ma lay man wasio uelewa Ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi wanakejeli kitu
ambacho kipo mbali na ufahamu wao,
narudia wote mnaokejeli kunena kwa lugha hawajawahi kuingia Spiritual realm
wengi wenu humu hua mnasikia tu habari za Mungu kwa nadharia na mapokeo
nakuambieni siku mkizama spiritual and taste God power mtarudi humu kuomba msamaha kwa ujinga mnaoufanya,

halafu kingine ile kitu inakuja baada ya kufurika roho mtakatifu na mnajua Holy Spirit
hakejeliwi hata robo mnacho kitafuta mtakipata
mimi mwanzo nilikua na misimamo ya kiatheist humu JF
niulizeni kilichonikuta mpaka nikageuka
hivi mnajua Pendo la Mungu kwenye maisha yenu nyie Wanadamu?
hivi mnajua kusudi la Yesu Kristo kwenye Maisha yenu?

anyway sina mengi ya kueleza maana hii ni mada nyingine ila nawasihi stop joking na kukejeri
Holy Spirit!

muwe na siku njema!
Hii sasa ndo 2⁰ Bipolar au mania kabisa...au pengine Schizophrenia..

Mkuu ukiona unafika mpaka kiwango hiki wahi kituo
Chochote cha afya karibu yako upate ushauri na Tiba...

Mkuu kama hutojali nionyeshe post Moja inayoonyesha hiyo misimamo ya kiathest uliyokuwa nayo hapa Jf maana jf hawafuti post...(Kumwamini Mlokole yataka moyo) nasubiria shuhuda

Nasubiria.........
 
Nimewaona Nelly na Willow Smith (Heavy Metal ) singer akiwa jukwaani Kama ananena kwa lugha then boom akajakuhojiwa akasema Kuna mtu ndani yake anayemuongoza .
Ngoma ina pande mbili.
 
Heeeh! Hongera sana

Tena ukipitia u atheist halafu ukaijua Kweli yaaani unaifaidi mnooooooo. Life is good sana. Nnajua umerudi lakini haujafungwa na dhehebu wala dini yoyote, na hicho ni kitu murua sana. Endelea kumjua Mungu ukiwa na open mind utaendelea kufaidi sana zaidi. Karibu sana.

That is very good to hear Mr. Dumas the terrible
asante sana mkuu nashukuru Jesus Christ is pure pure love hakika hakika milele!
 
Hii sasa ndo 2⁰ Bipolar au mania kabisa...au pengine Schizophrenia..

Mkuu ukiona unafika mpaka kiwango hiki wahi kituo
Chochote cha afya karibu yako upate ushauri na Tiba...

Mkuu kama hutojali nionyeshe post Moja inayoonyesha hiyo misimamo ya kiathest uliyokuwa nayo hapa Jf maana jf hawafuti post...(Kumwamini Mlokole yataka moyo) nasubiria shuhuda

Nasubiria.........
hakuna mlokole hapa acha wazimu na hapa nipo timamu wa akili labda wewe upo na trauma
kingine sina muda wa kukutafutia post hapa wakati una device yenye uwezo wa hivyo

kingine nakushauri tu ukiona jambo hulijui na hujui linafanyaje kazi sio kama halipo ila ni ujinga wa kutokua na info nazo,
mfano unakijua kisa cha Galilei Galileo na uvumbuzi wa darubini upeo?
kama hukijui kasome utanielewa nachomaanisha hapa

kingine cha mhimu zaidi ni kama Hujaujua Ulimwengu wa Roho yaani Spiritual Realm naomba usiendelee kubishana na mimi maana bado katika maisha yako hujafika hitimisho la mwisho la maarifa yote Ulimwenguni na kama unaujua tuendelee kuongea kwa lugha ngumu zaidi upo tayari kushare namimi au?
 
Kama ulivyotuambia, Napenda kujua zaidi
Nini kilichokukuta mpaka ukageuka
Ukajua Pendo la Mungu!?
weird mkuu hii kitu hata mimi sijajua ilikuaje maana nashindwa kabisa namna bora ya kuanza kueleza naomba mnipe Muda kuna vitu bado naendelea kuvipokea na vikikaa sawa nitaleta uzi kabisa,
mkuu hii ni ajabu sana tena sana nilipofika hitimisho la maarifa nikajikuta nipo point zero
nilianza kupokea vitu kutoka Spiritual Realm nikaoneshwa kumbe kila nachojua kilianzia mahali nisipopajua,
aiseee huu Ulimwengu na Mkuu wa Ulimwengu huu aliweka kanuni ya ajabu sana kuliko akili na maarifa yetu yanavyo tuaminisha!
 
hakuna mlokole hapa acha wazimu na hapa nipo timamu wa akili labda wewe upo na trauma
kingine sina muda wa kukutafutia post hapa wakati una device yenye uwezo wa hivyo

kingine nakushauri tu ukiona jambo hulijui na hujui linafanyaje kazi sio kama halipo ila ni ujinga wa kutokua na info nazo,
mfano unakijua kisa cha Galilei Galileo na uvumbuzi wa darubini upeo?
kama hukijui kasome utanielewa nachomaanisha hapa

kingine cha mhimu zaidi ni kama Hujaujua Ulimwengu wa Roho yaani Spiritual Realm naomba usiendelee kubishana na mimi maana bado katika maisha yako hujafika hitimisho la mwisho la maarifa yote Ulimwenguni na kama unaujua tuendelee kuongea kwa lugha ngumu zaidi upo tayari kushare namimi au?
Watu wote waliofika katika spiritual Realm hawana majibu yaki Egoistic kama yako Hawana majigambo wala hawaongei Juu ya 'umimi' ila huongea na kusikitikia Juu ya 'Sisi'...I know what i have allowed to know about spiritual realm and all its so Called Energetic patten I know alot about the Spiritual mysticism...

But kwa ulivyojibu its obvious your speaking from the theoretical Point of view...
You tell me About Galileo? Seriously tunaongelea spiritual Realm and Mind yu usiinguze kabisa science POV...

na umenena vyema kwamba sijafika Hitimisho la maarifa yote...Hitimisho la Maarifa yote hata robo sijui kama nimejaribu kufika (Wenyewe wanaita Nothingness) japo ninao uwezo wa kung'amua Uongo pale unapozungumzwa...
Kuongea kwa lugha ngumu Yes i can, But siwezi kufanya Hivyo I respect My innerself....

No one mwenye Egoistic nature ataweza kuingia Spiritual realm
 
Kwa Ulokole wangu na kumtumikia Mungu kwa miaka 8 Kanisa TAG huku Nyakatuntu Keisho Karagwe.

Kunena kwa Lugha, ni Karama ya Roho Mtakatifu ambayo huitoa kwa mwanadamu kama karama zingine za unabii, matendo ya miujiza na uponyaji, neno la hekima n.k 1 Korintho 12:1-12 inaeleza wazi kuhusu hizo karama.

Kwa sisi TAG katika misingi 16 ya Imani. Kuna msingi wa udhihirisho wa ujazo wa Roho Mtakatifu ambayo ni kunena kwa Lugha. Hili, Paulo na Mitume waluombea na kuonesha kuwa ndio uthibitisho wa ubatizo wa Roho Mtakatifu.

Je lugha inayotamkwa ni ipi? Biblia katika 1 korintho 13:1-2 inaeleza vizuri "kuwa kunena kwa lugha za kibinadamu na za Malaika". Katika Matendo ya Mitume 2, wanafunzi walinena kwa lugha za kibinadamu ikiwa ni ishara ya ujazo wa Roho mtakatifu pia ikiwa ni maandalizi ya kwenda kuhubiri Injili kwa mataifa mbalimbali. Sasa injili imehubiriwa kila Mahali, tunanena kwa lugha za Malaika. Biblia inasema wazi, "mtu anenapo huwa anawasiliana na Mungu wake moja kwa moja" ila inatusisitizia kumuomba Mungu atupe "karama ya kufasiri lugha unenayo"

Nifahamuvyo, kunena kwa lugha mara nyingi huwa ni kwa ajili ya kumsifu, kumshangilia na kumtukuza Mungu. Mara nyingi mtu anenapo hajui nini anachoongea kwani ulimi na akili(Mawazo) yake huwa yameshikwa na Roho wa Mungu. Kunena kunaenda pia na bubujiko la ndani kunakoendana na machozi japo pia mara nyingi Roho ya kunena ile lugha huambukiza kwani nifahamuvyo, kila kanisa lina Malaika wake na ndio maana Yesu aliongea na Malaika wa yale makanisa 7 ya Asia ndogo kwenye kitabu cha ufunuo.
Mnahangaika sana
 
asante sana mkuu nashukuru Jesus Christ is pure pure love hakika hakika milele!
Anhaa, kwa kuwa wote tunamkubali Yesu basi vizuri tukamuelewa kwa angle tofautitofauti ili tuwe nondo zaidi.

Fanya juu chini, uisome imani ya Kristo Yesu na maisha yake kupitia Urantia Papers Book.

Tuzidi kujiimarisha
 
Watu wote waliofika katika spiritual Realm hawana majibu yaki Egoistic kama yako Hawana majigambo wala hawaongei Juu ya 'umimi' ila huongea na kusikitikia Juu ya 'Sisi'...I know what i have allowed to know about spiritual realm and all its so Called Energetic patten I know alot about the Spiritual mysticism...

But kwa ulivyojibu its obvious your speaking from the theoretical Point of view...
You tell me About Galileo? Seriously tunaongelea spiritual Realm and Mind yu usiinguze kabisa science POV...

na umenena vyema kwamba sijafika Hitimisho la maarifa yote...Hitimisho la Maarifa yote hata robo sijui kama nimejaribu kufika (Wenyewe wanaita Nothingness) japo ninao uwezo wa kung'amua Uongo pale unapozungumzwa...
Kuongea kwa lugha ngumu Yes i can, But siwezi kufanya Hivyo I respect My innerself....

No one mwenye Egoistic nature ataweza kuingia Spiritual realm
Umenena sawia kabisa we jamaa
 
kwanza elewa Spiritual Realm haina uwingi ni just ones unaingia hakuna sisi kule
ni wewe only you ndie unaefungua Pattern na hata mkiwa wengi kila mtu ataingia kwa namna yake,
kingine naona unaingiza mambo ya nadharia za Ego wakati Spiritual realm ni Unlimited
haufungwi na mambo madogo kama hayo,
ukiijua kweli itakuweka huru Abram alikua ni mbinafsi ila aliweza kuingia Spiritual Realm na akaongea na Mungu live bila kikwazo
mengine ni maoni yako binafsi so baki nayo kama vipi!
 
Watu wote waliofika katika spiritual Realm hawana majibu yaki Egoistic kama yako Hawana majigambo wala hawaongei Juu ya 'umimi' ila huongea na kusikitikia Juu ya 'Sisi'...I know what i have allowed to know about spiritual realm and all its so Called Energetic patten I know alot about the Spiritual mysticism...
Lakini, haikatai mbona maana mahusiano ya mtu na Mungu ni kitu binafsi. Yaani mimi na Mungu wangu.

Japo ninatambua pia kama kila mmoja pia anaruhusiwa kuyaishi mahusiano ya namna hiyo kwa hiyo hapo ndio tunakuwa sisi wote wana wa Mungu kwa pamoja.

Hata marastafari wanaposema I and I humaanisha wote katika vyote lakini still katika umoja. Usiwachanganye na wale wahuni wanaosemaga me, myself and I, hawa ndio huakisi ubinafsi.

Aaamin kwamba Mungu na mtu wanaonana sirini, na wanawasiliana sirini wahusika, I mean muhusika tu binafsi na Mungu
 
Watu wote waliofika katika spiritual Realm hawana majibu yaki Egoistic kama yako Hawana majigambo wala hawaongei Juu ya 'umimi' ila huongea na kusikitikia Juu ya 'Sisi'...I know what i have allowed to know about spiritual realm and all its so Called Energetic patten I know alot about the Spiritual mysticism...

But kwa ulivyojibu its obvious your speaking from the theoretical Point of view...
You tell me About Galileo? Seriously tunaongelea spiritual Realm and Mind yu usiinguze kabisa science POV...

na umenena vyema kwamba sijafika Hitimisho la maarifa yote...Hitimisho la Maarifa yote hata robo sijui kama nimejaribu kufika (Wenyewe wanaita Nothingness) japo ninao uwezo wa kung'amua Uongo pale unapozungumzwa...
Kuongea kwa lugha ngumu Yes i can, But siwezi kufanya Hivyo I respect My innerself....

No one mwenye Egoistic nature ataweza kuingia Spiritual realm
Galilei simuongelei kama scientist nazungumzia fikra na upeo wa watu wa dini kua limited na mambo mpaka wakampiga pin kwa kudhani wao wapo sahihi sana kuhusu wanachoamini na kumwona mzushi kwa alichokigundua
lead between the line blood!

hapa namaanisha jambo mtu analoona ni sahihi halimpi mtu mwingine usahihi wa kulikubali kama ni sahihi mpaka pale atakapo lichunguza na kumpa matokeo yanayofanana na yule wa mwanzo!
 
Lakini, haikatai mbona maana mahusiano ya mtu na Mungu ni kitu binafsi. Yaani mimi na Mungu wangu.

Japo ninatambua pia kama kila mmoja pia anaruhusiwa kuyaishi mahusiano ya namna hiyo kwa hiyo hapo ndio tunakuwa sisi wote wana wa Mungu kwa pamoja.

Hata marastafari wanaposema I and I humaanisha wote katika vyote lakini still katika umoja. Usiwachanganye na wale wahuni wanaosemaga me, myself and I, hawa ndio huakisi ubinafsi.

Aaamin kwamba Mungu na mtu wanaonana sirini, na wanawasiliana sirini wahusika, I mean muhusika tu binafsi na Mungu
Umeongea Ukweli Mtupu ndugu..Na hicho ndo nilichokuwa namaanisha...

Lakini 'I' yenye wingi yaani Oneness hufahamika na I yenye umoja hufahamika pia..' I' yenye umoja imejaa ubinafsi chuki na Hasira ila 'I' Yenye Wingi imejaa upendo na ujumuishwaji..

kwa mfano mara nyingi paulo alipokuwa akitumia I yenye umoja alikuwa akitoa Tahadhari na kuwaambia watu kwamba "Nanena haya kwa jinsi ya kibinadamu" ili watu wasije wakamwona ni mtu aliyeingia Ego n kujikweza....
 
Back
Top Bottom