Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Kama ulivyotuambia, Napenda kujua zaidiMa lay man wasio uelewa Ulimwengu wa Roho unavyo tenda kazi wanakejeli kitu
ambacho kipo mbali na ufahamu wao,
narudia wote mnaokejeli kunena kwa lugha hawajawahi kuingia Spiritual realm
wengi wenu humu hua mnasikia tu habari za Mungu kwa nadharia na mapokeo
nakuambieni siku mkizama spiritual and taste God power mtarudi humu kuomba msamaha kwa ujinga mnaoufanya,
halafu kingine ile kitu inakuja baada ya kufurika roho mtakatifu na mnajua Holy Spirit
hakejeliwi hata robo mnacho kitafuta mtakipata
mimi mwanzo nilikua na misimamo ya kiatheist humu JF
niulizeni kilichonikuta mpaka nikageuka
hivi mnajua Pendo la Mungu kwenye maisha yenu nyie Wanadamu?
hivi mnajua kusudi la Yesu Kristo kwenye Maisha yenu?
anyway sina mengi ya kueleza maana hii ni mada nyingine ila nawasihi stop joking na kukejeri
Holy Spirit!
muwe na siku njema!
Nini kilichokukuta mpaka ukageuka
Ukajua Pendo la Mungu!?