Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

Naelewa Upande wako Sana..

Na hii ndo ilipelekea Mysticism nyingi zikafungwa na zikawa kama masimulizi na zikawekewa codes...

Kila masters na Greatmasters wote walikuwa na wanafunzi wao kwanza kabla ya kufundisha kwa umma.
Unafikiri kwa nini?
Yohana mbatizaji alikuwa na wanafunzi,Yesu alikuwa na wanafunzi,Paul alikuwa na companions ,Mtume Mohamed alikuwa na Wanafunzi ambao ndo tunaita maswahaba....

All the mystery books and story ikiwemo Biblia zina code nyingi kumwezesha mtu kuingia katika ulimwengu wa kiroho lakini zimefichwa kwa sababu ya Watu kujipenda wenyewe,na kupenda sifa kuabudiwa kusifiwa na kuogopwa...
Na hata yesu aliamua kuongea Kwa mifano ili wengine wasijue hizo codes Na kuzitumia vbaya mpaka watakapokomaa kiroho..Mathayo 13:10-14



So ushauri wangu kwako
  • Spiritual Realm hata kama kweli umeingia au hujaingia haihitaji majigambo wala matangazo kwamba wewe ni nani na nani akujue..
  • Jitahidi kung'arisha intuition yako na Insight kujua yupi anachunguza yupi anamock yupi anajaribu kurekebisha na yupi anarekebisha,Yupi rafiki na yupi adui.
  • Alwayz naamini Kwamba Mimi nikijua kitu bhasi kuna watu wanajua hicho kitu miaka zaman kabla yangu na pengine wanajua sana kunizidi na kila siku naamini katika Maoni ya watu na nakushauri fnya hivyo pia nimeangalia Jinsi unavyojibu watu its like you hold all truth...
 
Sielewi kama vile mnaongelea mysticism na spirituality ila from a Christian POV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…