DOKEZO Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Like niliokupatia ni kwasababu ya historia hio lakini sio hitimisho ulilofanya kuhusu vijana.
 
Tatizo la wachangiaji huwa wanatoa majibu ya kejeli au kubeza mara uchafu

๐Ÿ”ท Kunguni ni janga la wadudu ambao huibuka kwa kipindi Fulani kutokana na mabadiliko mbalimbali ya tabia nchi kama ilivyo wadudu wengine kama senene, NDEGE waharibifu kama kwelea kwelea nk

๐Ÿ”ท Kuna baadhi ya watu hawajawahi kukutana na majanga haya kutokana na eneo wanapotoka labda hawajawahi kuvamiwa na tatizo hili na mengine.

๐Ÿ”ท Ni kwamba mdudu huyu akishavamia sehemu hajali Cha usafi uchafu na dawa mpaka uipatie Sana. Tena kwa Taarifa nanastawi zaidi kwa mtu msafi ndio anajitokeza hadharani kwa mbwembwe

๐Ÿ”ท Huko ufaransa Sasa hivi wapo maabara kumchunguza zaidi mdudu huyu chanzo chake ni kitu gani kimesababisha kuibuka mpaka kuwashinda nguvu na wanajitahidi Sana kuepuka maneno ya kibaguzi na ya kipuuzi kuwa wageni ndio wameleta wadudu hao kama hapa watu wanavyosema uchafu unachangia. Kwa bongo Kuna baadhi ya eneo ambalo halijawahi kabisa kukumbwa na mdudu huyu na yawezekana baadhi hawajamwona hata kwa macho zaidi ya kuiona picha yake na kusoma tabia yake ndio wanatoa maneno ya jumla kuwa ni uchafu.

๐Ÿ”ทKuna baadhi ya viumbe hutumiwa kwenye ulimwengu wa roho. Kwamba Kuna watu wanaweza kuvitumia baadhi ya viumbe kwenda kuleta majanga kwa binaadamu kama nyuki, fisi, kunguru, bundi ,funza nk. Na viumbe hao wanaweza kuwa wenye roho tuu kama majini yanavyosumbua baadhi ya sule kwa wanafunzi kuchanganyikiwa au viumbe wenye mwili. Yote hayo yanaweza kufanyika, hivyo sio Kila janga hutokea kiasili mengine hutengenezwa ndio maana unaweza kukuta nyumba Fulani inavamiwa na janga Fulani pamoja na jitihada za usafi , dawa nk lakini wapi.


๐Ÿ”ท Kunguni ni sawa na janga la panya likija huwezi kulishugulikia peke yako, linahitaji jitihada ya jamii nzima ikiwemo serikali kwenye tafsiri za dawa kwani unaweza kusema unawaua kwa mafuta ya taa , maji ya moto, maji ya chumvi au maji ya sabuni ya unga kumbe imeibuka specie mpya hambayo haisikii chochote kuhusu hayo mazoea ya kupambana nayo. NO RESEARCH NO RIGHT OF SPEECH
 
Hakuna kunguni atakufa hapo.
Dawa ya kunguni chukua mafuta ya taa changanya na sabuni ya unga weka kwenye spray gun,nyunyizia ...hutaona kunguni hata mmoja...
 
Hilo unalosema ni rahisi kufanya nyumbani kwako,kwa maeneo ya public kama chuoni n.k ili utokomeze kunguni inatakiwa eneo lote lifanyiwe fumigation,ukifanya wewe peke yako basi uamue hakuna mtu kukalia kitanda chako na wewe usikae kwenye vitanda vya wenzio,vinginevyo utapiga dawa mwaka mzima na kunguni hawataisha...
 
Hapana.Institution ina responsibility ya kuhakikisha wakazi kwenye nyumba zake wanaishi confortably How,ndio wajipange sasa na vikanuni,elimu nk
 
VC anajua hilo?
Mkuu wa Chuo DR TAX anajua?
 
Kwa vile hao wanafunzi wanalipa ada hivyo basi uongozi was chuo wenyewe inabidi uwajibike for it but, it seems ndo yaleyale as if zile shule za kata kata ikishajengwa ndo imeisha iyo no maintenance nor wat ๐Ÿ˜‚
Wizara ya elimu kiujumla inajifanya kuelemewa na mambo mengi lakini sio kwel coz kila mtu kwwnye uongozi huenda ikawa anajjua lakin he /she don't care for it yote hiii sababu tu mambo ya serikari yanajisahau
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama wazungu wanateseka na kunguni sisi ni nani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kunguni wa bongo ni himilivu. Kuna siku wameniparamia pale block G kunguni kama hamsini hivi wale wadogo wadogo halafu nikakuta wao wafugaji wameshawazoea wala hawaguswi.
Maafisa ufugaji kunguni๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐€๐ง๐ฒ ๐ฐ๐š๐ฒ ๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐š ๐ฆ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐š ๐ฒ๐š ๐ญ๐š๐š ๐ฅ๐ข๐ญ๐š ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐ข ๐ฏ๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐จ ๐ฏ๐ข๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐ง๐š ๐จ๐ฆ๐จ ๐ค๐ข๐ ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐œ๐ก๐š๐ค๐จ ๐ค๐จ๐ซ๐จ๐ ๐š ๐ฏ๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ญ๐ก๐ž๐ง ๐ฆ ๐ญ๐จ๐›๐จ๐š ๐ฆ๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ข๐ค๐จ ๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ฉ๐š ๐ฒ๐š ๐ฉ๐ฅ๐š๐ฌ๐ญ๐ข๐ค๐ข ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ณ๐ข๐š ๐ฏ๐ข๐ฑ๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ก๐š๐ฅ๐š ๐ง๐ข๐ญ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ญ๐ž ๐๐Œ ๐ญ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐ž๐ž ๐ฏ๐ข๐ฑ๐ฎ๐ซ๐ข.
 
Kuna kale kajamaa feki kanajiita Sheikh Kishiki au Kisiki, majuzi alikuwa anakashifu shule za Wafaransa kuwa na kunguni na kuwa Mungu ndiyo aliwatumia hao kunguni, sisi je hapa Dom ni Mungu ndiye aliyefanya hivi kwetu na kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ