Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 453
- 788
Wafanye hivyo wote maana ukifanya pekeyako haisaidii wale kunguni wanatapakaa.Hili tatizo kubwa,hata kile Chuo kikubwa dar nenda hostel za mabibo shida ya kunguni ni kubwa.Inasikitisha sana miaka ya nyuma Vyuoni kulikuwa hakuna mambo haya.Acha kudeka,
Chukua heater, chemsha maji mengi ya moto, osha hivyo vitanda kwa maji moto kila kona,
Chukua godoro lako, kung'uta vizuri kabisa, toa folonya ulifue, fua mashuka yako then pasi kwa moto mkali,
You are good to go,
Short cut, nunua dawa za kuua wadudu, pulizieni humo ndani, hazizidi buku 5, kwa watu wanne ni 1250 each,
Tuache kulalamikia vitu vidogo tunavyoweza solve wenyewe, sisi sio toddlers bana