GlorytoGod
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 158
- 50
Achana na deodorant ndgu yng mdgo wng alikuwa na tatizo hilo lkn kilichomsaidia ukoko Wa ugali wakishatoa ugal kwenye sufuria chukua ile sufuria loweka kdgo ili ule ukoko ulainike, then chukua ule ukoko sugulia kwenye kwapa kwa muda Wa cku5 njoo hapa utoe mrejesho mkuu yaani ukoko ni dawa kabisaaaa

Kweli JF ni zaidi ya shule. mkuu kwakuwa wewe umeshasema atumie ukoko basi kwani na mimi nilitaka kumwambia kuwa ahakikishe anamtafuta mbwa halafu anainamisha kwapa lake ili mbwa alilambe tu mara 1 kwa siku na kwa muda wa siku 7 na tatizo lingeisha lote kwani ulimi wa mbwa una kemikali kali za kupambana na bakteria hasa hawa wa harufu kali.
Kweli kbs mama C, !!pia unapokoga chukua kipande cha ndimu au limao jisugulie inakata kabisa
Habari,kwa wale walio wahi kuwa na tatizo tajwa hapo juu na wakafanikiwa kuondokana nalo naombeni msaada wa njia au dawa mlizotumia kumaliza tatizo hili.Tatizo hili linaninyima amani kwa muda mrefu sasa wa miaka 6 na nimejaribu deodorant mbalimbali lakin kadri siku zinavyo songa na tatizo linazidi kuongezeka.
mkuu hii naipata wapi if possible unaweza kuweka picha hapaDriclor ndo mpango mzima