Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Achana na deodorant ndgu yng mdgo wng alikuwa na tatizo hilo lkn kilichomsaidia ukoko Wa ugali wakishatoa ugal kwenye sufuria chukua ile sufuria loweka kdgo ili ule ukoko ulainike, then chukua ule ukoko sugulia kwenye kwapa kwa muda Wa cku5 njoo hapa utoe mrejesho mkuu yaani ukoko ni dawa kabisaaaa.
 
Mi navyojua kushave kuoga kifupi kuwa msafi hakupelekei kunuka?
 
Achana na deodorant ndgu yng mdgo wng alikuwa na tatizo hilo lkn kilichomsaidia ukoko Wa ugali wakishatoa ugal kwenye sufuria chukua ile sufuria loweka kdgo ili ule ukoko ulainike, then chukua ule ukoko sugulia kwenye kwapa kwa muda Wa cku5 njoo hapa utoe mrejesho mkuu yaani ukoko ni dawa kabisaaaa

Duu Jamii Forum ni kubwa ati
 
Achana na deodorant ndgu yng mdgo wng alikuwa na tatizo hilo lkn kilichomsaidia ukoko Wa ugali wakishatoa ugal kwenye sufuria chukua ile sufuria loweka kdgo ili ule ukoko ulainike, then chukua ule ukoko sugulia kwenye kwapa kwa muda Wa cku5 njoo hapa utoe mrejesho mkuu yaani ukoko ni dawa kabisaaaa

Kweli jf ni zaidi ya shule. mkuu kwakuwa wewe umeshasema atumie ukoko basi kwani na mimi nilitaka kumwambia kuwa ahakikishe anamtafuta mbwa halafu anainamisha kwapa lake ili mbwa alilambe tu mara 1 kwa siku na kwa muda wa siku 7 na tatizo lingeisha lote kwani ulimi wa mbwa una kemikali kali za kupambana na bakteria hasa hawa wa harufu kali.
 
Kweli JF ni zaidi ya shule. mkuu kwakuwa wewe umeshasema atumie ukoko basi kwani na mimi nilitaka kumwambia kuwa ahakikishe anamtafuta mbwa halafu anainamisha kwapa lake ili mbwa alilambe tu mara 1 kwa siku na kwa muda wa siku 7 na tatizo lingeisha lote kwani ulimi wa mbwa una kemikali kali za kupambana na bakteria hasa hawa wa harufu kali.

Haha aisee
 
Nenda duka la dawa za asili nunua kitu kinaitwa shabu, ipo kama chumvi ya mawe, kisha uchukue kidogo uiloweke kwenye maji uwe unapaka kila baada ya kuoga harufu itaisha. ( pia jitahidi kuoga na kushave sehemu husika)
 
Habari,kwa wale walio wahi kuwa na tatizo tajwa hapo juu na wakafanikiwa kuondokana nalo naombeni msaada wa njia au dawa mlizotumia kumaliza tatizo hili.Tatizo hili linaninyima amani kwa muda mrefu sasa wa miaka 6 na nimejaribu deodorant mbalimbali lakin kadri siku zinavyo songa na tatizo linazidi kuongezeka.

Pole sana mkuu.........kweli hiyo ni kero.......
tafuta dawa inayoitwa Driclor.........unapaka usiku tu wakati wa kulala.......(ina maelezo).......na deodorant tumia Mitchum.......
hizi zote utazipata kwenye pharmacy kubwa hasa za wahindi au nje ya nchi............
kila la kheri...........

Dr Preta........
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    5.7 KB · Views: 445
  • image.jpg
    image.jpg
    8.5 KB · Views: 337
Watalaam,

Naomba kujuzwa dawa ya kutumia ili kuondoa harufu ya kikwapa.

Asante.
 
Changanya asali na unga wa mkaa, paka kisha osha baada ya dakika 15
 
Chukua ndimu kata vipande viwili na usugue kwenye makwapa kwa wiki mbili hadi tatu then utaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom