Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Under arm pads zinasaidia sana jasho linatoka linaishia kwenye pads na hivyo haliroeshi nguo, ili kuzuia harufu mbaya ya kwapa chukua kipande cha ndimu au limao tia chumvi kdg sugua kwapa then acha kwa dk kdg kisha oga pakaa deodorant Yako.
 
Chukua limao paka chapa maandashi au bicarbonate powder sugua kwapani siku 2 tu jasho linakata. Usithubutu kupaka mideodorants. We sugua kwapa then oga spray kama kawaida but usispray makwapa.
 
SSHUKURANI sana MKUUQUOTE="LIKE Niku ADD, post: 23398985, member: 235883"]Pharmacy kubwa kubwa wanazo mfano JD Pharmacy.. kesho wacheki waulizie kama mzigo upo.

+255 22 550 0549

+255 22 213 0190

+255 22 260 2823
[/QUOTE]
SHUKURANI SANA MKUU
 
Antiperspirant and deodorant, naona hapa ndipo tunapokosea. Hatujui tununue ipi.
 
Nina tatizo la kutoa harufu kali ya kikwapani hadi nakosa kujiamini, nimejaribu kujisafisha kwa ndimu mara kwa mara bila mafanikio. Hata nikitoka kuoga nikitembea dk 3 tu natoka jasho kidogo tu ambalo haligusi ata nguo ingawa linakuwa na harufu kali.
 
The same to me nimejaribu kila namna, holla sasa nimekubali matokeo tu. Ni mwendo wa deodorant ingawa bado ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…