Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

tatizo hili linatibika hospitalini, ila sina uhakika kama bongo wapo madaktari wa hii speciality...cosmetic surgeons. huku ughaibuni wanafanya sana tu matibabu haya tena kwenye outpatient clinic (hapo kwa hapo), wanakupiga sindano za BOTOX sehemu yenye tatizo (kwapani), na tatizo linakwisha hapo hapo.

Shukrani, ila sidhani kama hii teknolojia imeshaingia huku kwetu. nitajaribu kufatilia
 
Niliwahi kuwa na tatizo hilo miaka 10,iliyopita na dawa niliyotumia ni UKOKO WA UGALI KUOSHEA KWAPA. jaribu huwenda itakusaidia. unakoshea mara 2 kwa siku asb na jioni kwa wiki 1 tu

Asante, naomba maelezo zaidi, huomukoko wa ugali unautumia vipi?
 
pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu,na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute

Thanks Preta, nimeigoogle nimepata maelezo yake, nitaitafuta next week nikija jijini maana huku nilipo hamna pharmacy kubwa. Ubarikiwe. Hope itanisaidia
 
Yah,tumia ukoko wa ugali kama alivosema hapo juu mkuu,nilisoma kwny gazet,et unaweka maj kwny sufuria la ugal(ukoko),then kesho yake ndo unaanza ku2mia,itakusaidia nafikir,pole
 
Duh, umenijibu mimi halafu mgonjwa umemchunia,, kweli wewe ni Daktari makini!!!

Mimi daktari toka lini? Acha uzushi mashauzi bana....ukija kuvalishwa diraa usilalamike.

Oh btw, kile kitita cha shilingi 50,000.00 tayari nshakabidhiwa. Najua ulishikia bango mwanga weeeee
 
Mimi daktari toka lini? Acha uzushi mashauzi bana....ukija kuvalishwa diraa usilalamike.

Oh btw, kile kitita cha shilingi 50,000.00 tayari nshakabidhiwa. Najua ulishikia bango mwanga weeeee

Diraa ndo nini tena mazee?
Ina maana ulishawahi valishwa siyo?

Hapo kwenye red, hongera, ingawa hukustahili..
Ila mimi siyo Mwanga Bana, labda Bibi yako.....
 
Safisha kwapa vizuri kisha chukua kipande cha ndimu/limao kamua maji yake kisha paka kwapani itakusaidia sana. pole sana
 
pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu,na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute

Daa ushauri mzuri sana kwa kweli na asante sana, mimi nilikuwa napaka deodaranta wanasema wenyewe zinakaa 24 hours but zilikuwa hazisaidii kabisa maana jasho lilikuwa linamwagika vibaya sana, so plus likichanganyika na ile deodarant inatoka harufu kali ikabidi nistop kutumia,so baada ya kusoma kuhusu hiyo driclor nimeenda kununua haraka haraka, kwa kweli sasa hivi nikiipata after maybe 4 days jasho ndio linakuja kutoka kwa mbali sana yaani jasho limekata kabisa.....
 
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo lakini umeshamaliza. Zinapatikana kwenye baadhi ya pharmacy sio zote coz kuna wengine hata hawazijui. Kama yupo Arusha aniambie nimuelekeze mahali pa kuipata, ni nzuri sana na inafanya kazi mara moja.

Kabisa yaani inafanya kazi mara moja na mimi imenisaidia sana sio kidogo
 
Pole sana. Kuna "mtaalam" wa kwapa hapa JF kwa jina la Ngabu, wee mkuu vuta subira tu kidogo natumai atakuja kukupa ushauri!!!

Hah ahaha ahahaha ahah! mkuu umenifanya nicheke bila kupenda!
 
Yah,tumia ukoko wa ugali kama alivosema hapo juu mkuu,nilisoma kwny gazet,et unaweka maj kwny sufuria la ugal(ukoko),then kesho yake ndo unaanza ku2mia,itakusaidia nafikir,pole
So inabidi ule ugali kila siku ili uloweke hilo sufuria la ugali usiku na asubuhi utumie au ukishaloweka mara moja let say usiku wote. kesho yake yale maji unaweza kuyahifadhi ukatumia hata kwa siku mbili tatu au haiwekani naomba kujulishwa? Maana wengine hatuli ugali kila siku.
 
Daa ushauri mzuri sana kwa kweli na asante sana, mimi nilikuwa napaka deodaranta wanasema wenyewe zinakaa 24 hours but zilikuwa hazisaidii kabisa maana jasho lilikuwa linamwagika vibaya sana, so plus likichanganyika na ile deodarant inatoka harufu kali ikabidi nistop kutumia,so baada ya kusoma kuhusu hiyo driclor nimeenda kununua haraka haraka, kwa kweli sasa hivi nikiipata after maybe 4 days jasho ndio linakuja kutoka kwa mbali sana yaani jasho limekata kabisa.....

nimefurahi kusikia tatizo limekwisha.....karibu tena....
 
Great Thinkers.

Mimi na mpenzi wangu leo tuna mwaka na nusu toka tuwe kwenye mahusiano. Lakini napata shida sana kupambana na harufu ya kikwapa chake.

Tumejaribu kutumia kila aina ya vipodozi bado wakati mwingine nakuwa kama nazidisha harufu, mtanisaidiaje ili kikwapa kisiwepo!
 
Mmetumia deodorant gani? Jaribuni hiyo hapo chini (clinical strength anti-perspirant deodorant with wetness protection)

deodorant.jpg
 
Back
Top Bottom