Jaribu kupakaa anti-perspirant badala ya deodorant.
Asante, hii nilishajaribu bila mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kupakaa anti-perspirant badala ya deodorant.
Tumia nivea deodorant dry roll on. Utakuwa fresh 24 hrs. Inauzwa sh 4500
tatizo hili linatibika hospitalini, ila sina uhakika kama bongo wapo madaktari wa hii speciality...cosmetic surgeons. huku ughaibuni wanafanya sana tu matibabu haya tena kwenye outpatient clinic (hapo kwa hapo), wanakupiga sindano za BOTOX sehemu yenye tatizo (kwapani), na tatizo linakwisha hapo hapo.
Niliwahi kuwa na tatizo hilo miaka 10,iliyopita na dawa niliyotumia ni UKOKO WA UGALI KUOSHEA KWAPA. jaribu huwenda itakusaidia. unakoshea mara 2 kwa siku asb na jioni kwa wiki 1 tu
pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu,na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute
Safisha kwapa vizuri na uchukue kipande cha limao/ndimu na ukamulie ile juice yake,tatizo litaisha.
Duh, umenijibu mimi halafu mgonjwa umemchunia,, kweli wewe ni Daktari makini!!!
Mimi daktari toka lini? Acha uzushi mashauzi bana....ukija kuvalishwa diraa usilalamike.
Oh btw, kile kitita cha shilingi 50,000.00 tayari nshakabidhiwa. Najua ulishikia bango mwanga weeeee
pole sana....naweza nikakwambia kuwa hali uliyonayo kwa sasa naielewa na kero zake pia...hiyo inaitwa hyperydrosis (sina uhakika kama nimepatia spelling) kwa hiyo unaweza kutumia kitu kinaitwa Driclor,hii unapaka usiku tuu,na inapatikana kwenye pharmacy kubwa kubwa,kama utahitaji maelekezo zaidi igoogle, na ukiitafuta ukiikosa nitafute
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo lakini umeshamaliza. Zinapatikana kwenye baadhi ya pharmacy sio zote coz kuna wengine hata hawazijui. Kama yupo Arusha aniambie nimuelekeze mahali pa kuipata, ni nzuri sana na inafanya kazi mara moja.
Pole sana. Kuna "mtaalam" wa kwapa hapa JF kwa jina la Ngabu, wee mkuu vuta subira tu kidogo natumai atakuja kukupa ushauri!!!
So inabidi ule ugali kila siku ili uloweke hilo sufuria la ugali usiku na asubuhi utumie au ukishaloweka mara moja let say usiku wote. kesho yake yale maji unaweza kuyahifadhi ukatumia hata kwa siku mbili tatu au haiwekani naomba kujulishwa? Maana wengine hatuli ugali kila siku.Yah,tumia ukoko wa ugali kama alivosema hapo juu mkuu,nilisoma kwny gazet,et unaweka maj kwny sufuria la ugal(ukoko),then kesho yake ndo unaanza ku2mia,itakusaidia nafikir,pole
Daa ushauri mzuri sana kwa kweli na asante sana, mimi nilikuwa napaka deodaranta wanasema wenyewe zinakaa 24 hours but zilikuwa hazisaidii kabisa maana jasho lilikuwa linamwagika vibaya sana, so plus likichanganyika na ile deodarant inatoka harufu kali ikabidi nistop kutumia,so baada ya kusoma kuhusu hiyo driclor nimeenda kununua haraka haraka, kwa kweli sasa hivi nikiipata after maybe 4 days jasho ndio linakuja kutoka kwa mbali sana yaani jasho limekata kabisa.....
nimefurahi kusikia tatizo limekwisha.....karibu tena....