Raja Borry 1
Member
- Sep 25, 2015
- 27
- 16
Duh Fanya kwenda Jf doctors itakuwa poa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapatikana kwe maduka ya perfumesFighting Temptation inapatikan wapi mkuu?
Hii Driclor nimejaribu kuitafuta nimeikosa....kwa Dar inapatikana wapi mkuu?nimefurahi kusikia tatizo limekwisha.....karibu tena....
TIBA YA KUNUKA KIKWAPAHeshima kwenu wana JF. naombeni msaada wa mawazo jinsi gani nitaweza kumaliza tatizo la jasho. mimi ninatokwa na jasho jingi sana makwapani yaani hadi nakosa raha. Sina uhuru mwenzenu ikiwa ni jua, baridi, asubuhi au usiku ni jasho tuu..Kazini ndio kabisa yani lazima nivae dark colours kuficha muonekano wa jasho.
Nilishaenda hospitali kadhaa ila madaktari waliishia kuniambia ni maumbile tu sina tatizo lolote. Na kuongezea tu ni kwamba, jasho langu halitoi harufu mbaya.
Je nitumie nini ili nami niwe wa kawaida na kuwa huru kuvaa nguo yoyote?
Natanguliza shukrani.

TIBA YA KUNUKA KIKWAPA
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa.
Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.
Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo
- Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbaya
- Vaa nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu zitasaidia kufyonza unyevu na kuliacha kwapa lako kavu, safi na bila harufu mbaya
- Oga kila siku na safisha nguo kwa maji safi itasaidia kuua bakteria na ambao husababisha harufu mbaya
- Kunywa maji mengi kila siku yatakusaidia kutoa sumu mwilini na hivyo kupunguza harufu mbaya ya kwapa.
- Osha kwapa mara kwa mara kwa kutumia sabuni zenye dawa (medicated soaps)
- Punguza kula chakula chenye viungo vingi hasa vitunguu
- Kumbuka kutumia pafyume na Spray zitasaidia kuondoa harufu mbaya kwa muda na sio kutibu tatizo moja kwa moja.
- Baada ya kuoga jifute kwa taulo au kitambaa safi na usiache unyevu unyevu ambao uwavutia bakteria kukua katika eneo ili.
- Jitahidi kunyoa nywele za sehemu hii mara kwa mara.
- Epuka kukaa sehemu zenye joto kupita kiasi kwa muda mrefu.
mkuu hii naipata wapi if possible unaweza kuweka picha hapa
Hii Driclor Inauzwa shiling ngapi mkuu?nenda posta mpya
Pole sana. Me nilkua na mpenzi wangu ana iyo hali kama uliyonayo wewe nilikua napenda sana. Asubui nikikua naweka pua yangu kwenye kwapa lake nilikua naenjoy sana. Labda nikuulize mpenzi wako analichukuliaje ilo swala?isije ikawa mpenzi wako anakupenda kutokana na ilo swala ambalo wewe unaona kama ni kero........kama bado ujamuuliza muulize kwanza akupe jibu. Namkumbuka sana kipenz changu Z.Heshima kwenu wana JF. naombeni msaada wa mawazo jinsi gani nitaweza kumaliza tatizo la jasho. mimi ninatokwa na jasho jingi sana makwapani yaani hadi nakosa raha. Sina uhuru mwenzenu ikiwa ni jua, baridi, asubuhi au usiku ni jasho tuu..Kazini ndio kabisa yani lazima nivae dark colours kuficha muonekano wa jasho.
Nilishaenda hospitali kadhaa ila madaktari waliishia kuniambia ni maumbile tu sina tatizo lolote. Na kuongezea tu ni kwamba, jasho langu halitoi harufu mbaya.
Je nitumie nini ili nami niwe wa kawaida na kuwa huru kuvaa nguo yoyote?
Natanguliza shukrani.
Nivea dry roll huacha madoa ktk nguo white. Atumie body spray ambazo ni anti pespirant hakuna cha jasho kwapani litatoka sehemu zingine tu na hakuna madhara yeyote makubwa. Tena sukari au chumvi zina madhara makubwa na haraka zaidi kuliko anti pesperantion body spray.Tumia nivea deodorant dry roll on. Utakuwa fresh 24 hrs. Inauzwa sh 4500
Pole sana. Me nilkua na mpenzi wangu ana iyo hali kama uliyonayo wewe nilikua napenda sana. Asubui nikikua naweka pua yangu kwenye kwapa lake nilikua naenjoy sana. Labda nikuulize mpenzi wako analichukuliaje ilo swala?isije ikawa mpenzi wako anakupenda kutokana na ilo swala ambalo wewe unaona kama ni kero........kama bado ujamuuliza muulize kwanza akupe jibu. Namkumbuka sana kipenz changu Z.
Hii Driclor nimejaribu kuitafuta nimeikosa....kwa Dar inapatikana wapi mkuu?