Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Ha haa haaa mkuu hapa umeanzisha mada mpya kabisa lol
Poa mkuu,
Ngoja tuiweke kando kidogo. Tutaipeperusha next day ya siku nyingine!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa haaa mkuu hapa umeanzisha mada mpya kabisa lol
Mbona wale wenzetu wa upande wa pili mambo yao mara nyingi huwa mabaya baada ya ndoa?? Au ni utaratibu tu wa kubalance equation???
Jasho la mtu halinuki, kinachosababisha harufu ni byproduct inayotokana na maisha ya bacteria. Njia ya kwanza ya kupambana na kikwapa ni usafi. Anyoe makwapa kila mara, aoshe na sabuni walau mara tatu kutwa. Ndimu na white vinegar, kama acid inasababisha pH kuwa ndogo na hivyo kusababisha bakteria kufa. Kama ulivyoambiwa sugua na ndimu ama vinegar b4 kuoga na ukishaoga futa kwapa vema na kisha tumia deodorant. Kwa kweli harufu ya kikwapa inakera,mkipambana nayo itaisha tu! kila la kheri
Unatumia huu ushauri wote lakini tatizo linabaki bado pale pale kuna gonjwa lingine likiamua kukukamata halikuachii....lol
Msisahau pia maji katika mwili ni kitu muhimu sana, lita tatu hadi nne kwa siku, punguza spicy foods, caffeine na alcohol, au chochote kinachodehydrate mwili wako. A dehydrated body smells bad especialy kikwapa kinachoacha vitu vyeupevyeupe kwapani, au vinavyoacha alama ya njano kwenye shati jeupe.
Kunywa maji kadri uwezavyo, kiyoyozi nyumbani kama unaweza kinasaidia, tembea sehemu za vivuli au kaa ndani bila nguo na ujipepee.
Whatever it takes not to dehydrate urself.
Dah!! We uko freaky sana, unawataka wote kwa mpigo?He he he, mie nachagua option ya kukaa ndani bila nguo na kujipepea, afu nimepanga rum 1 na wapo mabachala 4.
Nshapata kisingizio cha kuwategea
Wanakuwa busy kuwapendezesha nyie na watoto
ANTI-PERSPIRANTS SI NZURI KWA AFYA YA BINADAMU NA ZINASABABISHA MADHARA MAKUBWA KAMA BREAST CANCER COZ ZINAZUIA JASHO KUTOKA. PIA ZINA Alluminium AMBAYO SI NZURI KWA AFYA YA BINADAMU
Dah!!.... we uko freaky sana, unawataka wote kwa mpigo?
Hapo sasa unaanza kuharibu Dada Mkuu...Wadogo zako watajifunza nini kama unamfanyia hivyo babu yako??
Nina uhakika kuna moja ndiye unaemtegea, wakinadada siku zote wanaju nani watampa darasani, mtani, kazini, roommates wanajua yupi ni sexy na ndiowanawategea. Ila yako kali,inaonekana pesa ndiyo itayotembeza mkia.Namaanisha atayewahi ndo huyo huyo
ila kompetita wakiwa wengi dau hupanda zaidi
Khaaaaa!:behindsofa:Mwambie achukue pamba awe analowesha kwenye spirit halafu aweke kwenye hayo makwapa yake na abana kwa dakika kazaa. Fanyeni hivyo kila siku kwa muda wa wiki 2.
Ushauri huu nimeupenda si wa kilozi ni "kisayansi zaidi" Big up King'asti. Mbinu hii ikidunda, Chinchilla kaa chini ufikiri. Kama umeweza mwaka na nusu basi hicho kikwapa hakina nguvu kwako, go on with your relation. Halafu ujue ni vile pia anakupenda, wewe umekurupuka kuja kutangaza humu, unadhani na yeye hana mapungufu yako? au kwa vile hajasema? Usitafute kisingizio, utaumia mbeleni ukaja juta.
Siyo tu atumie deodorant. Anachotakiwa kutumia ni 48 hr clinical strength ANTI-PERSPIRANT deodorant. Kuna tofauti baina ya deodorant na ANTI-PERSPIRANT deodorant.
Mtu kmwenye tatizo kubwa la kikwapa deodorant pekee haitasadia kuondoa tatizo. Inapaswa atumie deodorant zinazokata utokwaji wa jasho kwenye kwapa na hizo ndiyo ANTI-PERSPIRANT deodorants.
Baadhi ya watu huwa hawajui hilo. Wakiona tu container lina neno deodorant basi anakimbilia kununua. Sasa deodorants zisizo anti perspirant ingredients huwa haziko effective kwa watu wenye vikwapa vinavyotema na ndiyo maana utakuta watu wanalalamika kuwa wamejaribu kutumia deodorant lakini wapi.
Ni muhimu sana kusoma ni deodorant ya aina gani mtu unanunua. I always recommend ANTI-PERSPIRANT deodorants.
Niliwahi kusikia lakini sijui kama ni kweli eti dawa ya kienyeji ya kikwapa hata kiwe kikalo vipi inachukua sufuria uliyopikia ugali kisha unailoweka na maji halafu asubuhi unaoga yale maji yaani kama unajikanda sehemu za kikwapa kabla ya kuoga kwa muda wa siku mbili tatu halafu nasikia kinapotea!
Nilisikia watu wanajadili dawa hii baada ya jamaa yangu mmoja kuwa na kikwapa na kushauriwa tumwambie afanye hivyo mambo yatakuwa mazuri!!!!
Dah!! Sijui hapa utachukua ushauri wa nani..:lol:
Great Thinkers.
Mimi na mpenzi wangu leo tuna mwaka na nusu toka tuwe kwenye mahusiano. Lakini napata shida sana kupambana na harufu ya kikwapa chake.
Tumejaribu kutumia kila aina ya vipodozi bado wakati mwingine nakuwa kama nazidisha harufu, mtanisaidiaje ili kikwapa kisiwepo!