vicent tibaijuka
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 268
- 59
Jamani Wana JF,
Naomba mnielezeni inakuwaje mtu ananuka kwapa bila yeye mwenyewe kujishitukia? Kuna jamaa alikuwa na demu wake ikabidi waachane kwa ajiri ya kwapa! Hali hiyo iko hata mpaka kwa baadhi wasanii wetu, huwa wakiperform wanatema kiasi kwamba hutamani hata kuwa pale mbele. Mfano Twanga Pepeta. Wakimaliza pepeta ule uvundo huwa mandhari haikaliki? Je, wanamatatizo na pua zao?