Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

Jamani Wana JF,

Naomba mnielezeni inakuwaje mtu ananuka kwapa bila yeye mwenyewe kujishitukia? Kuna jamaa alikuwa na demu wake ikabidi waachane kwa ajiri ya kwapa! Hali hiyo iko hata mpaka kwa baadhi wasanii wetu, huwa wakiperform wanatema kiasi kwamba hutamani hata kuwa pale mbele. Mfano Twanga Pepeta. Wakimaliza pepeta ule uvundo huwa mandhari haikaliki? Je, wanamatatizo na pua zao?
 
Huyo dada hakumpenda tu jamaa yake, kwa nini asimuelimishe matumizi ya Body spray na Deodorant?
Hakuna mtu hanuki kwapa after a certain time. Ni ile tu mtu kujua jinsi ya kuepusha hilo.
Na mtu anae nuka kwapa hawezi jitambua sabb kiarufu kinakua taratiibu na harufu yoyote ilo kuzunguka kwa mda mrefu unaizoea na kuto isikia.
 
Dawa nzuri ya kunuka kikwapa ni ndimu. Ukijisugua kila siku kabla ya pirika zako, inasaidia na ndimu haina gharama ya hivyo. Kunuka kwapa huwa inakera jamani, ila maybe kwa wengine wanaona sawa tu. Utakuta mdada amevaa amependeza, ila akikupitia tu,ni harufu ya jasho, nahisi kama haipendezi.
 
Mimi wanawake wanao nuka kwapa ndo nawapenda, hebu nitafutieni huyo demu haraka sana.

Hao wanao nuka kwapa wanakuwa watamu sana, nyie hamjajua tu siri zao :cool2:
 
Mimi wanawake wanao nuka kwapa ndo nawapenda, hebu nitafutieni huyo demu haraka sana.

Hao wanao nuka kwapa wanakuwa watamu sana, nyie hamjajua tu siri zao :cool2:

Kweli tembea uone!
 
Mimi wanawake wanao nuka kwapa ndo nawapenda, hebu nitafutieni huyo demu haraka sana.

Hao wanao nuka kwapa wanakuwa watamu sana, nyie hamjajua tu siri zao :cool2:

Aisee!! Kwa hyo we ni zoa zoa 2?
 
Kama alivyosema mchangiaji hapa chini, huyu hakumpenda mwenzake. Haya makwapa yanatibika kirahisi tu hasa kuko kwenu Bukoba yanatibika sana.
 
Mimi wanawake wanao nuka kwapa ndo nawapenda, hebu nitafutieni huyo demu haraka sana.

Hao wanao nuka kwapa wanakuwa watamu sana, nyie hamjajua tu siri zao :cool2:

Ni kweli tu hunuka kikekike vile badala ya mikorogo ya marashi!
 
joke......
Joke vipi, kwampa la mwanamke likiwa linatoa harufu huwa ndo linasababisha mkuyati upepee zaidi, mana nikama vile mti umeutia mbolea unavyo zidi kustawi.

Kaulize ma doctor wanao jua faida ya kijasho cha kwapa kwenye sex :violin:
 
I still count it as a joke, ama sivyo unambie waumwa mafua daily!!
 
Mm sidhani kama mtu huwa hajisikii anatoa harufu!labda anakua tu ameizoea hiyo harufu yake mpaka anaiona ni hali ya kawaida. Na wanaonuka midomo je?
 
I still count it as a joke, ama sivyo unambie waumwa mafua daily!!
Sio mafua wala nini, ukweli ndo huo kabla ya kuwepo hizo body spray, na deodorant waliishi vipi na wanaume zao au wachumba zao.

Afu nyie wanawake mtawajua vipi wenzenu kama watamu? sie ndo tunawajua, kila mwanamke akiwa na kikwapa ndo mtamu...umeona embe ikisha ivaa lazima inukie :cool2:
 
Mm sidhani kama mtu huwa hajisikii anatoa harufu!labda anakua tu ameizoea hiyo harufu yake mpaka anaiona ni hali ya kawaida. Na wanaonuka midomo je????
Na nani anakuwambia unuse midomo yao?

wewe nyonya tu domo lake, afu kitu muhimu kule chini kuwe na symphony orchestra :violin:
 
Atafute deoderant za nivea za alovera products original
na asivae sana nguo za kumkosesha hewa.
aoge kila amra hata mara 2 kwa siku.
 
Back
Top Bottom