Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kuna VPN ya voda? TIGO au halotel?Tutumie tu VPN
Hamna namna
Hii inasaidiaje?Tutumie tu VPN
Hamna namna
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Kununua bundle ni anasaKila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Kununua bundle ni anasa na , bia zimepanda bei. Hapa unafanya opportunity Cost ufanye anasa ipi weekend ya leoKila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Tutumie tu VPN
Hamna namna
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
Je sisi tunaonunua mbs400 kwa ajili ya jf na whatsqpp bila ku view status na zinaishq ?Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
Haya ni matumizi ya mtu binafsi. Kuna mtu anatamani apate hata laki 6 afanye biashara lkn kuna mtu hiyo hela ananywea bia.Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
Ukisikiliza matangazo yao wote wanabakia kusema mtandao wenye kasi kuliko wote mara tumia 4G. Huwa nacheka sanaWanapata hasara tu kila siku ,hawana ubunifu kabisa.
Kukuongezea kitu, ukitaka kutumia insta tumia web version na si application maana web version huwa haifungui medias za page nzima kama app kitu ambacho kinafanya data isiende kubwa.Nime unfollow watu wengi Insta ili kupunguza matumizi ya bando. Nimebakiza watu wachache esp wale wanaopost mambo ya maana.