Kununua bando kwa sasa ni hasara iliyowazi

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki

Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
 
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
 
Tumia Whatsapp na Jamiiforum pekee na kwenye WhatsApp acha kuona status za watu nazo zinakula MB sema apo kwenye kifurushi cha 1000 nunua Cha afu 3
 
Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki

Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Kununua bundle ni anasa
 
Kwani Nape anasemaje na wale aliokuwa anapiga nao deki na jana wale wamama waliokuwa wanagaragara barabarani? Wale ndiyo wanaweza kukupa majibu mazuri sana ktk hili
 
Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki

Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Kununua bundle ni anasa na , bia zimepanda bei. Hapa unafanya opportunity Cost ufanye anasa ipi weekend ya leo
 
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.

Kweli kichekesho kabisa wewe. ni sawa ni nunue gari alafu serikali inipangie matumizi ya mafuta.

Internet ni huduma na si hanasa kama ilivyo serikali inakuwekea ushuru mkubwa wa kuingiza gari wakati ilo gari lingemsaidia mama yako aliyopo kijijini.

Bado tanzania kunavitu serikali inaishi stone age .

Vifaa vya sasa na mabadiliko ya teknolojia usilinganishe na teknolojia iliyopita ambayo app ya facebook ilikuwa izidi ukubwa mb 32 na leo app hiyo ya facebook inachukua Gb1 .

Wenzako wanakwenda mbele wewe unarudi nyuma
 
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
Je sisi tunaonunua mbs400 kwa ajili ya jf na whatsqpp bila ku view status na zinaishq ?
 
Hapa mitandao ya simu tunaionea tatizo linaanzia serikalini

Ikiongeza kodi kwa makampuni lazima kampuni nazo zipandishe gharama za vifurushi ili kutopata hasara

Hii ni biashara hata kama ni wewe huwezi kuwa unatengeneza hasara tu daily
 
Tatizo la watanzania hatujui kujidhibiti matumizi ya Internet ndo maana tunalalamika na hao mabeberu wa mitandao wana to exploit, mtu anaweka mbs za 1000, inawasha data anaperuzi Facebook, tiktok U.tube, akirudi whatup kufanya mawasiliano tayari hiyo buku imeisha, loh, anaenda kuweka jero ndo afanya mawasiliano tena.
Haya ni matumizi ya mtu binafsi. Kuna mtu anatamani apate hata laki 6 afanye biashara lkn kuna mtu hiyo hela ananywea bia.
Ni hela yake na ni matumizi yake
 
Wanapata hasara tu kila siku ,hawana ubunifu kabisa.
Ukisikiliza matangazo yao wote wanabakia kusema mtandao wenye kasi kuliko wote mara tumia 4G. Huwa nacheka sana
Airtel walitoa tangazo lao la 1500 unapata 500mb sijui liliishia wapi.
Mm mwenyewe siku hizi nimepunguza matumizi kwa 50%
 
Nime unfollow watu wengi Insta ili kupunguza matumizi ya bando. Nimebakiza watu wachache esp wale wanaopost mambo ya maana.
Kukuongezea kitu, ukitaka kutumia insta tumia web version na si application maana web version huwa haifungui medias za page nzima kama app kitu ambacho kinafanya data isiende kubwa.
 
Back
Top Bottom