Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Kila siku data zinazidi kupunguzwa huku gharama ikibaki kuwa ile wananchi wengi kwa sasa wamepunguza matumizi ya intanet ikiwa pamoja na mimi nanunua bando la elfu moja mara moja kwa wiki tofauti na miaka ya nyuma nilikuwa natumia elfu 5000 kwa wiki
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.
Swali la kujiuliza mitandao ya simu kuongeza gharama za manunuzi ya bando wameongeza faida zaidi ama faida ni ile ile kama waliyokuwa wanaipata au faida imepungua.