Kununua bodaboda na kufungua salon

Shukurani mkuu
 
Mkuu kilo 1 ya nyama unaingizaje faida 10 kwa siku?
 
Waza wazo jipya bro hilo la Bodaboda kumpa mtu pikipiki yako ndo usiliwaze kabisa ni hasara utapoteza hela yako kunufaisha watu baki
 
Location nzuri inaweza ikawa maeneo gani hasa
Location nzuri inaweza ikawa sehemu yeyote ile.
Nimesoma jinsi unavyojibu koment za watu nimekuelewa kama mtu ambaye hayupo kibiashara .
Mfano hili swali ulilouliza nililoliquot.
Nakushauri hivi hiyo hela nenda kanunue vipande vya utt uendelee kujipanga kukuza mtaji pia nakushahuri jiongeze kujioatia elimu ya biashar kidogo itakupa mwanga .
Manake jinsi nilivyokusoma inaonekana huelewi hata biashara ni nini halafu unataka uanzishe biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…