Kununua bodaboda na kufungua salon

Kununua bodaboda na kufungua salon

Boda boda million mbili tuachane na boda boda sawa chukua hiyo hela toa laki tano hapo nunua gesi tafuta flemu ya elfu 30 miezi sita mtaani huku mtu akija kununua unapata mpaka elfu hamsini,

Hiyo millioni moja na nusu iliyobaki chukua laki tano hapo kafungue butcher la nyama ya ng'ombe na samaki wabichi tafuta fremu ya elfu 30 kwa miezi sita mtaani fungua hapo mtu akinunua nyama kilo moja unaingiza elfu kumi ukiuza nyama kwa watu kumi unaondoka na laki kwa siku sawa

Chuku hiyo million moja iliyobaki iweke akiba kazi kwisha😎
Shukurani mkuu
 
Mkuu kilo 1 ya nyama unaingizaje faida 10 kwa siku?
 
Waza wazo jipya bro hilo la Bodaboda kumpa mtu pikipiki yako ndo usiliwaze kabisa ni hasara utapoteza hela yako kunufaisha watu baki
 
Location nzuri inaweza ikawa maeneo gani hasa
Location nzuri inaweza ikawa sehemu yeyote ile.
Nimesoma jinsi unavyojibu koment za watu nimekuelewa kama mtu ambaye hayupo kibiashara .
Mfano hili swali ulilouliza nililoliquot.
Nakushauri hivi hiyo hela nenda kanunue vipande vya utt uendelee kujipanga kukuza mtaji pia nakushahuri jiongeze kujioatia elimu ya biashar kidogo itakupa mwanga .
Manake jinsi nilivyokusoma inaonekana huelewi hata biashara ni nini halafu unataka uanzishe biashara
 
Back
Top Bottom