nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
- Thread starter
- #41
Shukurani mkuHahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani mkuHahah
Nina ishu zingineHizi biashara nimefanya zote ila tatizo kumpata msimamizi mwaminifu.... Kama Hauna ishu nyingine ni simple kufanya ufuatiliaji.
Upo wapi?.Location nzuri inaweza ikawa maeneo gani hasa
Iringa bossUpo wapi?.
Shukurani mkuuBoda boda million mbili tuachane na boda boda sawa chukua hiyo hela toa laki tano hapo nunua gesi tafuta flemu ya elfu 30 miezi sita mtaani huku mtu akija kununua unapata mpaka elfu hamsini,
Hiyo millioni moja na nusu iliyobaki chukua laki tano hapo kafungue butcher la nyama ya ng'ombe na samaki wabichi tafuta fremu ya elfu 30 kwa miezi sita mtaani fungua hapo mtu akinunua nyama kilo moja unaingiza elfu kumi ukiuza nyama kwa watu kumi unaondoka na laki kwa siku sawa
Chuku hiyo million moja iliyobaki iweke akiba kazi kwisha😎
Mkuu kilo 1 ya nyama unaingizaje faida 10 kwa siku?Boda boda million mbili tuachane na boda boda sawa chukua hiyo hela toa laki tano hapo nunua gesi tafuta flemu ya elfu 30 miezi sita mtaani huku mtu akija kununua unapata mpaka elfu hamsini,
Hiyo millioni moja na nusu iliyobaki chukua laki tano hapo kafungue butcher la nyama ya ng'ombe na samaki wabichi tafuta fremu ya elfu 30 kwa miezi sita mtaani fungua hapo mtu akinunua nyama kilo moja unaingiza elfu kumi ukiuza nyama kwa watu kumi unaondoka na laki kwa siku sawa
Chuku hiyo million moja iliyobaki iweke akiba kazi kwisha😎
Kwa vip?Kumpa mtu kazi ya kutafta na kukuletea pesa ni ngumu sana.
We nunua boda boda utayapata majibuKwa vip?
Sema iringa ulipo hayo mawazo yanaweza yasifanye kaziShukurani mkuu
Kwa vip mkuuSema iringa ulipo hayo mawazo yanaweza yasifanye kazi
1.5mWeka budget yako
Huko shamba sana alafu biashara za butcher sijui gesi huko hazifanyiki hebu fikiria mtu anapikia kuni, kuhusu nyama unakuta mtu ang'ombe mbuzi kibao kiufupi hizi biashara huko hazifai cha msingi hapo chukua boda boda au fanya kilimoKwa vip mkuu
Location nzuri inaweza ikawa sehemu yeyote ile.Location nzuri inaweza ikawa maeneo gani hasa
Siufahamu huo mji.Iringa boss