Kununua bodaboda na kufungua salon

Kununua bodaboda na kufungua salon

Nashauri u-opt kufanya biashara ya Saluni

Kwanini? Ni less risky

Hata hivyo inaweza kukuzalishia zaidi ya milioni 2.4 Kwa Mwaka Kwa kuweka malengo ya shilingi 50,000 Kwa wiki na shilingi 200,000 Kwa Mwezi.

Hiyo ni Kwa Saluni local (zenye hadhi ya chini)
 
Risk ni chache, mathalani ya kukimbiwa na Vinyozi japo unaweza kuidhibiti Kwa kuwapatia mikataba ya kazi.

Ukiweza kuajiri Vinyozi wawili ama watatu Kwa Saluni local, halafu Kila mmoja ukampa lengo la shilingi 40,000 Kwa wiki

Hata Mama Samia acheleweshe mshahara Kwa miezi 6 huwezi Kulia Lia njaa hata kidogo
 
Risk kwa vip boss
Risk nikimaanisha bodaboda ndio chombo cha moto kinaongoza kupata ajali, kwaiyo unaweza pata kilema cha ujanani ukapunguza kasi ya kupambana au inaweza kukudedisha kabisa wakati wewe ndio engine namba moja kwenye utafutaji.

kuepuka hiyo risk ni bora ufanye biashara yako namba mbili ambayo ni saloon.
 
Asante mkuu
 
Risk ni chache, mathalani ya kukimbiwa na Vinyozi japo unaweza kuidhibiti Kwa kuwapatia mikataba ha kazi.

Ukiweza kuajiri Vinyozi wawili ama watatu Kwa Saluni local, halafu Kila mmoja ukampa lengo la shilingi 40,000 Kwa wiki

Hata Mama Samia acheleweshe mshahara Kwa miezi 6 huwezi Kulia Lia njaa hata kidogo
Hahah
 
Back
Top Bottom