Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Nilijua ungezungumzia na HPHutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.

Mkuu amefeli hapo... HP ndio kila kitu kwenye accKinachokupa Acceleration kubwa ni Horsepower ya engine yako na siyo cc.
Lijue hilo.
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
BugattiHivi kuna gari ya cc 8000
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi...Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
Bara bara za kuendeshea hamna kero sanaKinachokupa Acceleration kubwa ni Horsepower ya engine yako na siyo cc.
Lijue hilo.
Fuso Fighter ndio ina hizo ccHivi kuna gari ya cc 8000
Average fuel consumption ya hyo fuso inaweza ikawaje? Sijawahi sikia watu wa fuso wakilia lia kuhusu mafuta. Au tuconclude fuel consumption haiko kwenye ukubwa wa cc?Fuso Fighter ndio ina hizo cc
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji41]Tafuta pesa achana na haya mawazo ya kimasikini
Kuna moto mwengine kutoka Toyota. Hii ni one of the best Hot hatches kwa sasa, Toyota GR Yaris 1.6L 3cylinder yenye AWD system capable of 274hp making 0-100km in 5 secs.Huyu mdudu ana CC 2000.
Ila top speed ni 270 kph
0 - 100km inakupa 6 seconds.
CC sio kigezo pekee cha kukupa acceletation unaoifikiria.
Kuna Mini Cooper ina CC haizidi 2000 ila balaa lake LC 200 yenye CC 4000 atasubiri miaka 100.View attachment 1630204