Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 411
- 238
Huku sada ni kupangiana maisha. Ukienda baharini, tafadhali ogelea kwenye kina unachomudu.Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.