Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ile diesel machine mkuu watu hawawazi kuhusu consumption maana ni gari ya kazi.Average fuel consumption ya hyo fuso inaweza ikawaje? Sijawahi sikia watu wa fuso wakilia lia kuhusu mafuta. Au tuconclude fuel consumption haiko kwenye ukubwa wa cc?