Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

Mkuu omba upate hela usiwe na hela za mawazo,kuna watu wanafanya modification gari ibugie mafuta haswa yani sijui kuna maneno yakitaalamu wanasema gari inafanyiwa inakua inabugia mafuta na inakua na nguvu na inakimbia kweli kweli.

wanaofanya huo ujinga wapo kwenye teamtezza hii team wote wanatumia altezza humo ndio kuna wana wanamichezo hiyo magari yao yanafyonza haswaaa gusa link ukaone maajabu yao https://www.instagram.com/teamtezza/
 
Huyu mdudu ana CC 2000.

Ila top speed ni 270 kph

0 - 100km inakupa 6 seconds.

CC sio kigezo pekee cha kukupa acceletation unaoifikiria.

Kuna Mini Cooper ina CC haizidi 2000 ila balaa lake LC 200 yenye CC 4000 atasubiri miaka 100.View attachment 1630204
Bei majanga mkuu hapo bado ushuru mkuu
Screenshot_20201119-213102_Chrome.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moto mwengine kutoka Toyota. Hii ni one of the best Hot hatches kwa sasa, Toyota GR Yaris 1.6L 3cylinder yenye AWD system capable of 274hp making 0-100km in 5 secs.

View attachment 1630217
Watu walikua hawaamini hako ka vitz kwny drag race kamemburuza Golf gti kama mtoto,watu wanabaki wametoa macho tu.
 
Hahahah sahizi ni mwendo wa Turbochargers tu. Engine piston 3 ila inasepa kuliko naturally aspirated V engine.
Hahahah Jamaa wameona bora waende sambamba na wajerumani a.k.a wazee wa kujaza ma turbo/supercharger.
 
Hahahah Jamaa wameona bora waende sambamba na wajerumani a.k.a wazee wa kujaza ma turbo/supercharger.
Dharau zilizidi wameona wawastue kidogo wapinzani wa jadi. Aisee ile kitu inasepa mangi. Ntakuwekea clip uone balaa
 
Dharau zilizidi wameona wawastue kidogo wapinzani wa jadi. Aisee ile kitu inasepa mangi. Ntakuwekea clip uone balaa
Hahahah mnama hebu tumia hio mambo aisee,nione kanavyoachia watu manyoya.
 
Back
Top Bottom