Kununua gari yenye 2,000cc ni kupoteza hela!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.

Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
 
Nilijua ungezungumzia na HP
 
Kinachokupa Acceleration kubwa ni Horsepower ya engine yako na siyo cc.

Lijue hilo.
 
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.

Tafuta pesa achana na haya mawazo ya kimasikini
 
Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye 2,000cc.
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi...
Kasome kwanza mambo ya HP kisha utakuja kurebisha uzi wako
 
Huyu mdudu ana CC 2000.

Ila top speed ni 270 kph

0 - 100km inakupa 6 seconds.

CC sio kigezo pekee cha kukupa acceletation unaoifikiria.

Kuna Mini Cooper ina CC haizidi 2000 ila balaa lake LC 200 yenye CC 4000 atasubiri miaka 100.
20201119_204844.jpg
 
Huyu mdudu ana CC 2000.

Ila top speed ni 270 kph

0 - 100km inakupa 6 seconds.

CC sio kigezo pekee cha kukupa acceletation unaoifikiria.

Kuna Mini Cooper ina CC haizidi 2000 ila balaa lake LC 200 yenye CC 4000 atasubiri miaka 100.View attachment 1630204
Kuna moto mwengine kutoka Toyota. Hii ni one of the best Hot hatches kwa sasa, Toyota GR Yaris 1.6L 3cylinder yenye AWD system capable of 274hp making 0-100km in 5 secs.

img_0227.jpg
 
Back
Top Bottom